Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseeee!!
ila tatizo lenu nyie mashabiki wa Barcelona hamjazoea kupata maumivu mara kwa mara..
hivyo ikitokea mistake moja kama hii mnaumia sanaaa..

kawaulize washabiki wa Arsenal maumivu yako vipi? watakujibu cos wao wameshazoea imekuwa kama ni desturi kwao vileee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuwa shabiki wa arsenal inabidi kujitoa fahamu
 
2139b515119216c0b522622043a2af71.jpg
 
Back
Top Bottom