Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Kivipi?
Atupe jibu.
Haaa hivi alitoa jibu letu????!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?
Atupe jibu.
Hivi na wewe umekuja hapa karibu heaven on earth
Hahaaaa...Sidhani kama wote wana majukumu, kuna wengine hawana 'bando'.
kuna mtu kakununulia bando?Sasa nimerudi rasmi
Mkuu sio kila wakati unatakiwa kuwa serious mkuu, kuna wakati, wa kutaniana na kufurahi, na kuna wakati wakujadili mambo yenye manufaa na wa kuelimisha,makapuku ...there is nothing serious watu wanafurahi tuuuu
Nimejua tu mkuu,unaonekana bingwa sana wa kuvunja ndoa za watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
kula like mkuuKweli mkuu hapa ni toa likes upate likes
Nimevunja ndoa ya nani tena?Nimejua tu mkuu,unaonekana bingwa sana wa kuvunja ndoa za watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu acha tu,siku hizi pesa imekuwa adimu hata kununua bundle inashindikana.kuna mtu kakununulia bando?
[emoji121] [emoji106][emoji641] [emoji646], [emoji646] [emoji646] [emoji646]
Views loading....
Makapuku mpo juu
..............................
kweli aisee, hata u-siriazi wa Magu sa nyingi ndo huwa unamponza ..Mkuu sio kila wakati unatakiwa kuwa serious mkuu, kuna wakati, wa kutaniana na kufurahi, na kuna wakati wakujadili mambo yenye manufaa na wa kuelimisha,makapuku ...there is nothing serious watu wanafurahi tuuuu
Nilisikia ulitaka kuvunja mapenzi yetu na Nahrene!Nimevunja ndoa ya nani tena?
Nani kaiba tena?Makapuku mko wapi likes zimepotea
Yaan huku ni free stress zone.Hii sehemu safi sana
Ukiwa siriaz mda wote utazeekaa mapema bora kufurahi naakapukukweli aisee, hata u-siriazi wa Magu sa nyingi ndo huwa unamponza ..