Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Karibu uketiSehemu nzuri mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu uketiSehemu nzuri mkuu
Nipo hapa hubby! Usafiri shidaWhere are you my baby?
Ndoa imejibu lakini?Iko salama kabisa mkuu.
EMMYGUY wii!! ,nimejikuta tu nasema ndio bila kutarajia..Wii napita tu..... Hivi aliyetunukiwa ni yupi???
Dada katika ubora wangu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Asante mkuuwachoya = wachoyo
Pole sana baby. Itabidi nikununulie hata vits my loveNipo hapa hubby! Usafiri shida
Hehehehehe hapo sasa itabidi ujiandikishe tuition.... Maana mie mwenyewe mgeni huko (jokes)Waziri mkuu na prime minister ni tofauti eeh maana mimi sijui kabisa
Matatizo gani???Una matatizo wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nimelike tayari, nisomee sasa.Like basi kwanza hata niongezekewe "like"
Ngoja niende kwa ras simbaHehehehehe hapo sasa itabidi ujiandikishe tuition.... Maana mie mwenyewe mgeni huko (jokes)
Same hereKwakweli makapuku mnanifanya niwe stress FREE.
Baiskeli tu inatosha babe!Pole sana baby. Itabidi nikununulie hata vits my love
Mjini shule..Like basi kwanza hata niongezekewe "like"
Baiskeli hapana baby. Ujue wewe ni mke wa waziri mkuu wa MakapukuBaiskeli tu inatosha babe!
Tubane matumiziBaiskeli hapana baby. Ujue wewe ni mke wa waziri mkuu wa Makapuku
Nimefurahi sanaaa.... Karibu kwenye familia, kama una rafiki yako umlete bado kina youngblood wako lindoniEMMYGUY wii!! ,nimejikuta tu nasema ndio bila kutarajia..
Ila kweli, ndo maana nilikuchagua wewe babyTubane matumizi
Mkumbushe kuwa hapa ni toa likes pokea likesMkuu nimelike tayari, nisomee sasa.