Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu MESSI utampenda tu !
.
Mfungaji Bora kabeba [emoji736]
Mchezaji Bora kabeba [emoji736]
.
[emoji238]View attachment 2722325
Mkuu niajeNdio maana nakupenda Mjep
Tumekumiss pia moud karibu sanaNimewamiss sana
Poa tu za kwakoMkuu niaje
Maswali tena [emoji1787][emoji1787] Carasco Putin njooo nataka kuulizwa maswaliShunie naomba uje nina maswali nahitaji majibu
Achana na huyo kivuruge mrembo wangu cunajua nimetokea kukupenda sana 🥰. Mbona cioni story ya mangeMaswali tena [emoji1787][emoji1787] Carasco Putin njooo nataka kuulizwa maswali
Story ya mange tena imefanyaje me siletagi mambo za udaku hukuAchana na huyo kivuruge mrembo wangu cunajua nimetokea kukupenda sana [emoji3059]. Mbona cioni story ya mange
.....ni jambo zuri kukuona mdau. Tupo na kwa taarifa tu Yanga kafungwa goli moja kwa nne hadi sasaNimewamiss sana
Lakini magazeti si ypo mpaka yale ya udaku? 😞Story ya mange tena imefanyaje me siletagi mambo za udaku huku
Nzuri ShuniePoa tu za kwako
Yanga kushinda mechi hiyo ni habari.mbaya bro ......ni jambo zuri kukuona mdau. Tupo na kwa taarifa tu Yanga kafungwa goli moja kwa nne hadi sasa
Hata hayo P siletagi ila mange ni juzi na jana alikuwa anagombana na zuchu na gigyLakini magazeti si ypo mpaka yale ya udaku? [emoji20]
Binamu nimefurahi kukuona.....ni jambo zuri kukuona mdau. Tupo na kwa taarifa tu Yanga kafungwa goli moja kwa nne hadi sasa
...mara zote unajua ni nzuri kuwepo hapa sababu wewe upo aunt yangu.Binamu nimefurahi kukuona
Habari yako Binamu?...mara zote unajua ni nzuri kuwepo hapa sababu wewe upo aunt yangu.
Jukwaa hili linakuwa tamu upande wa magazeti na je wajua kwa sababu wewe hujawahi kutuangusha kwa kelele ama kimya kimya