makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Umenikumbusha taarabu moja, ni mzee Yusuf yule nadhani....mashaka hana ila wasiwasi ndiyo akili. Tutajuaje wakati hamjaachana?
Hatutaachana.
Enzi hizo mambo ni travertine hotel, dar west park, kwa macheni, ni burudanj tu.. Huku mzee yusufu huku banza stone, bado hujaenda msondo kupata burudani, ilikuwa ni raha bila karaha.