Makapuku Forum

Makapuku Forum

...mashaka hana ila wasiwasi ndiyo akili. Tutajuaje wakati hamjaachana?
Umenikumbusha taarabu moja, ni mzee Yusuf yule nadhani.
Hatutaachana.

Enzi hizo mambo ni travertine hotel, dar west park, kwa macheni, ni burudanj tu.. Huku mzee yusufu huku banza stone, bado hujaenda msondo kupata burudani, ilikuwa ni raha bila karaha.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 kwanini mwenyekiti wa kufa na kuzikana sasa!
....hana siri, usipotoa mchango lazima aseme hata kama ulimfuata faragha kuomba udhuru.

Utamsikia "watu mnachelewesha michango, mfano huyu Atoto kasema atatoa wiki ijayo wakati wiki iliyosha alikuwa anakula Bata bagamoyo, jamani huu ni msiba mchango utoke kabla ya hayati hajageuka"

Huu mfano hauna mfanano na yeyote humu, majina yaliyotumika ni ya kubuni
Asubuhi Njema
 
Habari wana JF

Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote hum

Karibu sana
IMG-20231115-WA0000.jpg

Mwenzetu kaingizwa chakike
 
....hana siri, usipotoa mchango lazima aseme hata kama ulimfuata faragha kuomba udhuru.

Utamsikia "watu mnachelewesha michango, mfano huyu Atoto kasema atatoa wiki ijayo wakati wiki iliyosha alikuwa anakula Bata bagamoyo, jamani huu ni msiba mchango utoke kabla ya hayati hajageuka"

Huu mfano hauna mfanano na yeyote humu, majina yaliyotumika ni ya kubuni
Asubuhi Njema
🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom