Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ugumu wa maisha, misongo ya mawazo nadhani vinachangia..kuna haja ya kufanyika kitu..ukichukua magazeti ukasoma habari za mikoani ktk mikoa kumi hukosi habari ya mauaji ktk maeneo tofauti na visa tofautiSijui ni ugumu wa maisha au ni nini.