Peace be with you neighbor!Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
Hawa jamaa wapuuzi sana. Sijui kwa nini bado wanajidanganya na hiyo "demokrasia" yao.what democracy are you talking??wanne wameshalala mbele unazungumzia demokrasia gani??hadi watu waprotest ndo tume ina come out??
Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
hiyo Tume huru waliyoipata ndo hii???Kenya ilipigania kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Watanzania wanaiomba CCM iwape tume guru. Very interesting.
nasikia jecha na lubuva wapo Nai,muwe makiniNdio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
Bwana yule aliema tusitegemee katiba mpya maana sio kipaumbele chake so we have 10 years aheadπππKenya ilipigania kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Watanzania wanaiomba CCM iwape tume guru. Very interesting.
Matokeo siyameshatoka? au mnafanya auditing?Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
Killing of the ICT expert, distorted a bit your democracy. Adding to that problem, tribalism and ethnic sentiments have continued to plague you democracy credibility. To this end, more effort is needed for curbing those problems, particularly tribalism and ethnic sentiments, where your democratic elections are rooted. Generally speaking, you are doing quite nice, just continue on solving the above problems.Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
what democracy are you talking??wanne wameshalala mbele unazungumzia demokrasia gani??hadi watu waprotest ndo tume ina come out??
na je,ikitokea kenyatta kapigwa chini will he be ready to accept the results wakati alishaonekana anashinda??vipi kuhusu watu wake??hiyo tume imeshavuruga watu,acheni kujikweza kuna demokrasia hapo
Hakuna demokrasia africa uhuni wa hawa viongozi unalingana kila mahali