Makarani wa vyama vyote na wahudumu wa IEBC waanza kupitia fomu zote

Makarani wa vyama vyote na wahudumu wa IEBC waanza kupitia fomu zote

what democracy are you talking??wanne wameshalala mbele unazungumzia demokrasia gani??hadi watu waprotest ndo tume ina come out??
na je,ikitokea kenyatta kapigwa chini will he be ready to accept the results wakati alishaonekana anashinda??vipi kuhusu watu wake??hiyo tume imeshavuruga watu,acheni kujikweza kuna demokrasia hapo
Nikisoma najua tu nationality na kabila yako kabisa.

Sent From fx.991
 
Mimi nadhani hatuna lolote la kujifunza kutoka Kenya, let us go back to square zero
 
Yawezekana ukawa sawa but hata kama hakuna Democracy, angali KENYA wanatuzidi demokrasia sisi wazee wa porojo
Wanatuzidi kwa takwimu zipi? Au kwa maneno ya humu JF! tusaidie huo utafiti tuone tafadhali!

Japo mimi sifungamani na vyama vya siasa, lakini kitu ambacho kenya inaizidi tz ni kubadili vyama vya siasa vya kuongoza nchi! Na hicho sio kigezo pekee cha demokrasia!

Ukiangalia democracy index ya 2016, tz inaizidi Kenya.
 
Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.

We ni mkenya au vipia maana naona kiswahili yako ni ya Manzese Dar es salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
Ni sababu zipi ziliwafanya wasipitie wakati wa kuhesabu kura na kutoa matokeo hadi waje kuzipitia na kuzichunguza sasa hivi?
 
Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
Sijawahi ona tume mbovu kama hii ya Kenya.
Na kwa kukurupuka huku ingeweza sababisha madhara makubwa Zaidi kwa Wakenya.
Eti inatangaza matokeo then baada ya kusikia harufu za damu inadai matokeo sio halali.
Na wewe unakuwaga na ufinyu sana wa kutambua mambo.
Demokrasia ipi unazungumza wakati watu wamerudi vijijini na tayari watu wameshatangulizwa kwa Maulana??
tapatalk_1502312481825.jpeg
 
Sheria inasema hizo forms ndio zikitangazwa itakua matokeo rasmi, walio-protest ilikua ni dhidi ya mfumo wa kupeperusha matokeo kwamba walituhumu kuwa umedukuliwa, sasa tume imeendelea kwenye hatua za mwisho kiutaratibu na kwa mujibu wa sheria ambayo inahusu kupitia fomu zote na makarani wa vyama vyote ili kukamilisha zoezi, ulitaka wafanye nini labda kwa ushauri wako.
hakuna sheria inayosema tangaza kwanza matokeo ya system then ndo tuje kuverify kwa forms kama ni matokeo ya kweli au sio..hakuna hiko kitu,tume yako walikua wanatangaza matokeo ya system without evidence ya wanachotangaza,kama wewe ni mkenya basi unajifanya kipofu na kiziwi kwenye reality things
 
wanaosupport kuwa Kenya kuna Demokrasia zaidi ya Tanzania wanashangaza sana,Wakenya kila kitu cha msingi wanapata through Protesting watu lazima waumie kila siku,hii tume ya sasa imeweka through Protesting na bado ni mbovu kuliko halafu bado tunaiita hiyo ina Demokrasi??
 
Sijawahi ona tume mbovu kama hii ya Kenya.
Na kwa kukurupuka huku ingeweza sababisha madhara makubwa Zaidi kwa Wakenya.
Eti inatangaza matokeo then baada ya kusikia harufu za damu inadai matokeo sio halali.
Na wewe unakuwaga na ufinyu sana wa kutambua mambo.
Demokrasia ipi unazungumza wakati watu wamerudi vijijini na tayari watu wameshatangulizwa kwa Maulana??
View attachment 562193
Tatizo mnashinda JF tu hamsikilizi source zingine. Imeelezwa kinaga ubaga kwamba mahakama ilitoa ruling kwamba matokeo yatumwe haraka kabla ya hizo karatasi kuepusha uchakachuzi. NASA wenyewe ugomvi hauko hapo ugomvi wao ni kwamba mfumo wa urushaji matokeo moja kwa moja umechezewa. Hapo nao wamekurupuka walitakiwa wasubiri uhakikisho kupitia form no 34 A kuliko kuamsha vurugu za wafuasi wao
 
what democracy are you talking??wanne wameshalala mbele unazungumzia demokrasia gani??hadi watu waprotest ndo tume ina come out??
na je,ikitokea kenyatta kapigwa chini will he be ready to accept the results wakati alishaonekana anashinda??vipi kuhusu watu wake??hiyo tume imeshavuruga watu,acheni kujikweza kuna demokrasia hapo
At least they have tried to cool pple dwn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom