kazi ilishamalizika mapema maana mawakala wa NASA walikataliwa kuchukua picha kwenye polling station so hapo tayari walishatengeneza maneno, this is Africa brother lakini tuwashukuru tume kufanya hivyo ili kupunguza furuguNdio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.