MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Wanatuzidi kwa takwimu zipi? Au kwa maneno ya humu JF! tusaidie huo utafiti tuone tafadhali!
Japo mimi sifungamani na vyama vya siasa, lakini kitu ambacho kenya inaizidi tz ni kubadili vyama vya siasa vya kuongoza nchi! Na hicho sio kigezo pekee cha demokrasia!
Ukiangalia democracy index ya 2016, tz inaizidi Kenya.
Nakumbuka Lowassa alivyopambana kulalamika kwamba kura zake zimeibiwa, akabeba ushahidi na kupeleka kwenye majengo ya tume, lakini alipuuziwa mbali na mshndi akatangazwa. Hilo tumewashinda kwa mbali maana kwetu sisi inabidi vyama vyote vihusishwe, hesabu zipigwe taratibu kiasi kwamba hakuna atakayebaki akilalamika.