Makatibu wa Kanda wa CHADEMA watua ofisini kwa Waziri Bashe, wajiapiza kuwa mabalozi wa kilimo

Makatibu wa Kanda wa CHADEMA watua ofisini kwa Waziri Bashe, wajiapiza kuwa mabalozi wa kilimo

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kwa kweli sasataifa limeungana chini ya Samia, naanza kuelewa kwa nini Lissu kaamua kuondoka
Screenshot_20230217-025027.jpg
 
Afadhali, naiona chadema ikianza kujijenga upya kwa kujali mahitaji wa wananchi tena, bila kuingiza mihasira ya lisu kwenye mambo ya chama. Lisu yeye asepe tu na mihasira yake, chadema doesn't need him to survive.
Hongera Makatibu wa chadema wa kanda ✌️🤞🤛
 
Safi sana, sijaona ubaya wowote maana huo mradi ni kwa ajili ya vijana bila kujali vyama. Kilimo na chakula ni kwa faida ya watu wote hakuna chakula Cha Chadema na CCM!!

Tatizo lenu mlizoea siasa za kihuni kudhani wapinzani ni maadui wa taifa. Huko tumeshatoka Sasa wapinzani wapo included kwenye framework ya kuchochea maendeleo na ndio maana wameitwa watoe mawazo Yao.
 
jinsi inavyowauma haiwezi kufichika,thanks GOD mipango yenu ya kumkwamisha Mama Samia iligundulika mapema na majina mengine sasa yamebakia historia na mengi mengine yanakwenda kuwa historia very soon
 
Siyo chawa wa Mama hao bali ni watu wenye roho mbaya na wapinga maendeleo kwa woote.Uwepo wa vijana wa chadema mbele ya Mh.Bashe umedhihirisha jinsi Upinzani wa kweli una nia njema ya kukuza uchumi kupitia kilimo.I wish ningekuwa na uwezo wa kutoa mashamba darasa kwa uvccm na chadema washindane.
 
Kwa kweli sasataifa limeungana chini ya Samia, naanza kuelewa kwa nini Lissu kaamua kuondoka View attachment 2519890
Safi sana Hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kuirejesha democrasia hii ndio democrasia tulikua tunaitaka watanzania upinzania sio uadui sasa wote tumeungana kuijenga Tanzania moja Mungu akuweke Mama 2025 utapita kwa kishindo maana umeiponya nchi
 
Back
Top Bottom