Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Attachments

  • fcbfddc1-9efa-4a88-8f0f-b030a818bd75.jpeg
    fcbfddc1-9efa-4a88-8f0f-b030a818bd75.jpeg
    24.3 KB · Views: 16
Baraza kuu la CHADEMA Lina wakristo asilimia 92 na huwa hata haisememwi kwa sababu CCM haijuhi kuhubiri udini na ukabila ila inahubiri amani na maendeleo
Mpumbavu mkubwa! Unalinganisha wajumbe na watumishi wa CCM ngaxi ya mkoa???
Mkatibu hao ambao wengi wao ni walarushwa wakubwa,ndio wanaozalisha :'
1. Wabunge wote kwenye mikoa yao
2. Mayor na wenyeviti wa Halmashauri
3. Madiwani
4. Ndio mabosi wa makatibu wa CCM wilaya.
××× Ndio waliokula Rusha Dodoma kuvunja katib a ya CCM na kuleta mjane agombee urais×××
 
Wagalatia kaeni kwa utulivu, chama kina nafasi Kibao, kitabalansi tu zingine😁.

Halafu msisahau Chacha, Kihongosi na Mw.anri ni wachungaji kabisa wa makanisa

Wagalatia kaeni kwa utulivu, chama kina nafasi Kibao, kitabalansi tu zingine😁.

Halafu msisahau Chacha, Kihongosi na Mwanri ni wachungaji kabisa wa makanisa.
Carlos The Jackal
 
Back
Top Bottom