Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Baraza kuu la CHADEMA Lina wakristo asilimia 92 na huwa hata haisememwi kwa sababu CCM haijuhi kuhubiri udini na ukabila ila inahubiri amani na maendeleo
CHADEMA wanachama wake waislam mara nyingi wakiwa makini sana huhujumiwa na kuondokana. Ila kwa macho ya wazi hakuna Udini pale tu hawajaingia. Nionavyo mimi. Wana kazi kubwa ya kupata vijana wazuri wanaaojielewa wenye elimu naamini watafika mbali sana
 
Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Hata huko kwa wapasua matofali na kukimbia na magogo yenye kilo 1,000 mabegani wanaoshika namba sita kwa ubora duniani hali ni mbaya mno! Ukiondoa yule incompetent na
chawa useless aliyeko juu kabisa; anayemfuatia na wakuu wa kamandi karibia zote (anga, maji, nchi kavu, JKT....) wote ni wala kitimoto kwa siri. Pengine ndo maana waliruhusu yaliyofanyika Oktoba 29 yafanyike. Na mashirika mengi ya umma siku hizi hasa yale ya muhimu ukiona bodi zake utafikiri ni bodi ya msikiti kumbe ni ya shirika la umma! 🚮
 
Mpumbavu mkubwa! Unalinganisha wajumbe na watumishi wa CCM ngaxi ya mkoa???
Mkatibu hao ambao wengi wao ni walarushwa wakubwa,ndio wanaozalisha :'
1. Wabunge wote kwenye mikoa yao
2. Mayor na wenyeviti wa Halmashauri
3. Madiwani
4. Ndio mabosi wa makatibu wa CCM wilaya.
××× Ndio waliokula Rusha Dodoma kuvunja katib a ya CCM na kuleta mjane agombee urais×××
Acha kujinyofoa fyuzi , unajua maana ya Baraza kuu CHADEMA ? hiko kikao kinajumuisha wenyeviti wa Kanda, wenyeviti wa mikoa na makaribu wao
 
Ulieleta bandiko ndiyo una tatizo,kwani umesikia wenyewe wamelalamika?
Wenye chama chao wanajua vigezo vyao vya kuteuliwa ,weww unaongeza na kigezo cha udini,namna hiyo hatufiki ndugu,Luna baadhi ya wilaya hapa nchini,DC, ded,das,na wakuu was idara zote za halmashauri wore wanakua dini moja na kazi zinaenda na hakuna malalamiko,kwa mini ulalamike? Dino zenyewe za kuletewa hizi.
 
Sioni shida hata kama wote wakiwa ni wa dini moja endapo tu hawatahudumia wanachama wao kwa kuzingatia dini zao ila kama wakifanya kinyume sio nzuri kwa ustawi wa Taifa na Chama kwa ujumla
 
Kete ya kisiasa ya CHaDEMa ni udini, ukanda na ukabila. Kipindi cha JPm mlikuwa mnahesabu Wasukuma na wa Kanda ya Ziwa. Sasa hivi Rais Muislamu mnahesabu Waislam na WA Zanzibar
Umenikumbusha kipindi cha Mkapa namna ambavyo baadhi ya waislamu walipiga sana kelele kuwa serikali ya CCM ya Mkapa inawabagua waislamu pindi kunapotokea nafasi. Nakumbuku hili lilipelekea sensa kufanyika kwenye taasisi nyingi za umma na report kupeleka kwa Mkapa. Nakumbuka namna ambavyo Lipumba akiwa msikitini akiwaambia waislamu wampigie kura Kikwete maana ni muislamu mwenzao. Nakumbuka NSSF ya Dr. Ramadhani Dau namna ilivyokuwa na ubaguzi kwenye ajira kwa wasio wa imani fulani.
 
Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Kuangalia kila kitu kwa jicho la udini ni dalili ya watu waliofilisika kisiasa, ni watu muflis wachochea udini wahed!

Siku zote Wakristu tukihodhi 90% na kuitawala nchi kwa mfumo Kristu, mbona Waislamu walikuwa wametulia tuu?. Saa hizi ni zamu yao, tutulie tuu, zamu yetu inakuja!

Mfano ma CDF wote wa JWTZ ukimuondoa Abdala Twalipo ni Wakristu, tena nimesoma na binti Twalipo anaitwa Flora, hivyo hata huyo Abdala usikute ni jina tuu kama Jaji Said na Jaji Ramadan! Hivi hakuna Muslims anaweza kuwa CDF?! . Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Hebu acheni hizi mambo!

P
 
Back
Top Bottom