Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 10
CCM IMESHAKUWA SHURA YA MAIMAMU...TATIZO NI KWAMBA WAISLAMU NI WAPUUZI SANA HAWAFAI KUPEWA UONGOZI ..MUISLAMU KUWA MZALENDO NI NGUMU , NI RAHISI SANA MUISLAMU KULA NGURUWE KULIKO MUISLAMU KUWA MZALENDO.
Shida kubwa ya hawa watu..kwao priority 3 za maisha ni.. 1. Dini 2. Dini 3. Dini ..wala si imani ni dini yao, imani na dini ni vitu tofauti...mambo mengine yote yanafuata baada ya dini, hilo tu linawaondolea sifa ya kuwa viongozi popote, lbd km ni kuongozana wao kwa wao hata hivyo hawawez kufanikiwa..mf. angalia uendeshaji wa shule zao na matokeo..hata hicho chuo walichoazimwa majengo na serikali..t s horrible, halafu udhani hawa ndio wataleta maendeleo..ni ndoto za mchana! Angalia lifestyle ya familia zao utajifunza kitu ili ikusaidie namna ya kwenda/kuishi nao..
 
Kuangalia kila kitu kwa jicho la udini ni dalili ya watu waliofilisika kisiasa, ni watu muflis wachochea udini wahed!

Siku zote Wakristu tukihodhi 90% na kuitawala nchi kwa mfumo Kristu, mbona Waislamu walikuwa wametulia tuu?. Saa hizi ni zamu yao, tutulie tuu, zamu yetu inakuja!

Mfano ma CDF wote wa JWTZ ukimuondoa Abdala Twalipo ni Wakristu, tena nimesoma na binti Twalipo anaitwa Flora, hivyo hata huyo Abdala usikute ni jina tuu kama Jaji Said na Jaji Ramadan! Hivi hakuna Muslims anaweza kuwa CDF?! . Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Hebu acheni hizi mambo!

P
Mkuu kuna nyuzi zingine unapima na mletaji ndo unawajibu..
Wengi ni vijana wa mihemko.
 
Wagalatia kaeni kwa utulivu, chama kina nafasi Kibao, kitabalansi tu zingine😁.

Halafu msisahau Chacha, Kihongosi na Mwanri ni wachungaji kabisa wa makanisa.

There are tactics used in order to win battles...Good sport managers know. Army generals and commanders, with immense impact know. Does it matter?

I think Christians must make huge investment in education. By nature, am not worried by these short term trends. Empires have been built by the use of long term strategies, and education is in the core heart of any startegy.

I know one thing.....a divided kingdom shall fall...ni suala la muda tu
 
Msikubali kuingia ktk ujinga wao, Kwani wameisha shindwa , wanatafuta njia ya kutokea, iwe Kwa kutumia pesa, rushwa, údini na ukanda.

Huu ndio ukweli wenyewe....hizi ni short term strategies. Hazina impact yoyote ya maana. Wataanza kutimuana na watajikuta wanashikana mashati wao kwa wao
 
Kama ulikuwa hujui
TANU NZIMA ILIKUWA NA WANACHAMA WAISLAMU TU
Baadae sana ndo akaingia Nyerere,akawa mkiristo mmoja tu ndani ya chama
 
Back
Top Bottom