Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,886
- 2,231
CHADEMA wanachama wake waislam mara nyingi wakiwa makini sana huhujumiwa na kuondokana. Ila kwa macho ya wazi hakuna Udini pale tu hawajaingia. Nionavyo mimi. Wana kazi kubwa ya kupata vijana wazuri wanaaojielewa wenye elimu naamini watafika mbali sanaBaraza kuu la CHADEMA Lina wakristo asilimia 92 na huwa hata haisememwi kwa sababu CCM haijuhi kuhubiri udini na ukabila ila inahubiri amani na maendeleo
Hata huko kwa wapasua matofali na kukimbia na magogo yenye kilo 1,000 mabegani wanaoshika namba sita kwa ubora duniani hali ni mbaya mno! Ukiondoa yule incompetent naHali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Acha kujinyofoa fyuzi , unajua maana ya Baraza kuu CHADEMA ? hiko kikao kinajumuisha wenyeviti wa Kanda, wenyeviti wa mikoa na makaribu waoMpumbavu mkubwa! Unalinganisha wajumbe na watumishi wa CCM ngaxi ya mkoa???
Mkatibu hao ambao wengi wao ni walarushwa wakubwa,ndio wanaozalisha :'
1. Wabunge wote kwenye mikoa yao
2. Mayor na wenyeviti wa Halmashauri
3. Madiwani
4. Ndio mabosi wa makatibu wa CCM wilaya.
××× Ndio waliokula Rusha Dodoma kuvunja katib a ya CCM na kuleta mjane agombee urais×××
Muislam university 1 tu imebadilisha kila kitu. Vikipatikana 4 itakuwaje?Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Salari,Mohamed Said nini maoni yako kwenye uzi huu kwamba kwa sasa Makatibu CCM , Waislam wako 21,Wakristo 11
Lipo lipo tuu limekaa kama zombii na majini kutwa kusifia sifia wenzake akati wanalamba asali lakn hili litakuwa sijui la kusini lingekuwa la kaskazin akaa asingebaki hadi leoCCM imekuwa BAKWATA sasa hivi maana hata Lucas Mwashambwa kasilimu ili apate buku 7 za lumumba
kwa sasa Makatibu CCM , Waislam wako 21,Wakristo 11Salari,
Maoni kuhusu kitu gani?
Nifafanulie tafadhali.
Mfumo KristoMaoni kuhusu kitu gani?
Nifafanulie tafadhali.
Wewe ni mpumbavu.Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Umenikumbusha kipindi cha Mkapa namna ambavyo baadhi ya waislamu walipiga sana kelele kuwa serikali ya CCM ya Mkapa inawabagua waislamu pindi kunapotokea nafasi. Nakumbuku hili lilipelekea sensa kufanyika kwenye taasisi nyingi za umma na report kupeleka kwa Mkapa. Nakumbuka namna ambavyo Lipumba akiwa msikitini akiwaambia waislamu wampigie kura Kikwete maana ni muislamu mwenzao. Nakumbuka NSSF ya Dr. Ramadhani Dau namna ilivyokuwa na ubaguzi kwenye ajira kwa wasio wa imani fulani.Kete ya kisiasa ya CHaDEMa ni udini, ukanda na ukabila. Kipindi cha JPm mlikuwa mnahesabu Wasukuma na wa Kanda ya Ziwa. Sasa hivi Rais Muislamu mnahesabu Waislam na WA Zanzibar
Kuangalia kila kitu kwa jicho la udini ni dalili ya watu waliofilisika kisiasa, ni watu muflis wachochea udini wahed!Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
- Carlos The Jackal
- ccm hali inatisha waislam wako
- Replies: 241
- Forum: Jukwaa la Siasa
Wacha uongo na umbea kijana, utavikwa kijora. Linda mgongo wako usibutuliwena wala hakuna mwenyekiti wa chadema wa mkoa au wilaya alie muisilamu?