Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Joseph midimu

Senior Member
Joined
Mar 8, 2024
Posts
141
Reaction score
210
TURUDI DARASA LA QWANZA KIDOGO.

1. 15%- HESLB LOAN
=115,650/-

2. 2%- CWT contribution.
=15,420/-

3. 5%- SECURITY FUND.
= 38,550/-

4. 25%- PAYE.
=192,750/-

5. 3% - NHIF.
=23,130/-

TOTAL:- 385,500/-
LEFT WITH:- 385,500/-

NA HAPO BADO-
✓ Kodi.
✓ Bando.
✓ Babe.
✓ Food.
✓ N.k

Makato ya PAYE (Pay As You Earn) kwa mwalimu mwenye degree yanategemea kiwango cha mshahara wake. Tanzania ina viwango mbalimbali vya kodi ya mapato kulingana na mapato ya mwezi. Viwango vya kodi ni kama ifuatavyo:

- Kiasi cha mshahara kisichozidi TZS 270,000: Hakuna kodi.

- TZS 270,001 - TZS 520,000: 8%

- TZS 520,001 - TZS 760,000: 20%

- TZS 760,001 - TZS 1,000,000: 25%

- Zaidi ya TZS 1,000,000: 30%

REJEA MFANO WA SLIP YA MALIPO APO CHINI: PIA TOA MCHANGO WA MAONI YAKO VP HII KAZI INALIPA AU LAAH.?

IMG-20240713-WA0011.jpg
 
View attachment 3041578
Mwalimu wa Bachelor analipwa 750,000/= ???🥺🥺😳😳😳😳😳😳😳😳
Mbona Pesa Ndogo sana??
 
Kumbe mshahara haufiki hata milioni moja kwa graduates?? This is so Sad...
 
Kha yaani over 1mil wanakata 30%. Hatari
 
Mwalimu wa Bachelor analipwa 750,000/= ???🥺🥺😳😳😳😳😳😳😳😳
Mbona Pesa Ndogo sana??
Kumbe mshahara haufiki hata milioni moja kwa graduates?? This is so Sad...
Hii 700k hata PAYE ninayo katwa haija fikia
Mbona kidogo sana binafsi makato yangu ni laki7
Mnaweza kuwa na mishahara mikubwa ila kujifanya hamjui kuwa Tanzania kuna watu wanalipwa 700,000/= imenishangaza sana.
 
We ni mtanzania?
Ndyo boss Nimeshangaa kwa sababu Ni mshahara wa Tabibu wa cheti (Clinical assistant aliyekaa kazini Miaka mitatu)..

Na ni Mshahara wa Tabibu ( Clinical officer ) Diploma na pia ni mshahara wa Nurse aliyekaa kazini miaka mitatu au Mshahara wa Afisa muuguzi msaidizi anayeanza kazi..

Na pia ni mshahra wa Kuruta ambaye Yuko mafunzoni RTS aliyeishia Form four na Ni just Constable tu..

Na ni mshahara wa Afisa Ugani wa Kilimo mwenye Certificate aliyefanya kazi kwa Miaka mitatu na Ni mshahara wa Afisa Ugani wa Kilimo na Mifugo mwenye Diploma anayeanza kazi..

Kiukweli Nimeshangaaa sana bhasi ndyo maana walimu Wanadharaulika sana
 
Mnaweza kuwa na mishahara mikubwa ila kujifanya hamjui kuwa Tanzania kuna watu wanalipwa 700,000/= imenishangaza sana.
Tunaelwa ila Kumlipa Graduate mshahara Huo ni Tusi mi nilijua wanaolipwa hao ni wale ambao ni certificate na Diploma na ninao ushahidi wa Hao wanaolipwa hivyo ila sikujua kama Mwalimu Na umuhimu wake Gradute anakula hiyo
 
Back
Top Bottom