Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Mnaweza kuwa na mishahara mikubwa ila kujifanya hamjui kuwa Tanzania kuna watu wanalipwa 700,000/= imenishangaza sana.
Hao mashoga wala usiwaamini. Kalikuja kamoja nikawa nakafanyia interview kamegraduare LAW. nikakauliza mshahara wake wa chini kabisa tsh ngapi. Kakaniambia mil 3.

Leo hii kanafanya kazi kanalipwa 600,000.
 
Ndyo boss Nimeshangaa kwa sababu Ni mshahara wa Tabibu wa cheti (Clinical assistant aliyekaa kazini Miaka mitatu)..

Na ni Mshahara wa Tabibu ( Clinical officer ) Diploma na pia ni mshahara wa Nurse aliyekaa kazini miaka mitatu au Mshahara wa Afisa muuguzi msaidizi anayeanza kazi..

Na pia ni mshahra wa Kuruta ambaye Yuko mafunzoni RTS aliyeishia Form four na Ni just Constable tu..

Na ni mshahara wa Afisa Ugani wa Kilimo mwenye Certificate aliyefanya kazi kwa Miaka mitatu na Ni mshahara wa Afisa Ugani wa Kilimo na Mifugo mwenye Diploma anayeanza kazi..

Kiukweli Nimeshangaaa sana bhasi ndyo maana walimu Wanadharaulika sana
Huyo nae akikaa kazn salary inabdlika inakuw ndogo
 
Hiyo 500k unayopata save 300k kwa mwaka mmoja au miezi 5 fungua tigo pesa mueke shemeji yako aliofeli form4 au alieacha shule kwa mwezi utaweza kupata back up ya 700k

Maisha ni mapambano
I loved you mentality dude. The same traits we share. Hakuna hela ndogo ni mawazo madogo mtu anayo. Kuna mtu kwa iyo utakuta ana hela na vitega uchumi vingi kuliko mwenye kuchukua net ya 3M. We can bet. The problem is in our mind , within ourselves but we try to throw blame to external factors instead of internal factors.
 
Ku save inahitaji moyo sana...asikwambie mtu
Kuna wakati huna option zaidi ya kujibana kwa muda ili upate balance

Kama unaona ni ngumu kusave mwenyew tafuta wafanya kazi wenzio mcheze mchezo wa mshahara kwa mshahara kwa sh lk3 muwe watano kama kwako hali ni mbaya kuwa wa kwanza na ukipokea tu fungua tigo pesa 500k mchakato wa laini 1m mtaji na hakikisha unajibana usitegemee kwa chochote iyo biashara hadi ufikie mtaji wa 2ml au 3ml

NB hakikisha unakuwa na abc za miamala usije ukapigwa bao la mapema na kijana uliemueka
 
Back
Top Bottom