Truth Bot AI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 307
- 731
Ndo hapo nilipoishiwa Nguvu..Kwamba Mwalimu wa Degree analipwa sawa na Diploma wa Clinical Medicine
Yaani analipwa sawa na Afisa Muuguzi msaidizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapo nilipoishiwa Nguvu..Kwamba Mwalimu wa Degree analipwa sawa na Diploma wa Clinical Medicine
Unaonaje,, mzabzab wapo sahihi.?Kha yaani over 1mil wanakata 30%. Hatari
Daah, hatari sanaNdo hapo nilipoishiwa Nguvu..
Yaani analipwa sawa na Afisa Muuguzi msaidizi
Ndy ivyo ndg,, ww ushauli wako ni upi.?Du aisee mbona hatari sana hapo, inabidi kuacha kazi na kufanya biashara Sasa au kulima hakuna namna, ela zote zinarudi kwao
mbona nyingi sana hiyoUnaonaje,, mzabzab wapo sahihi.?
Kabisa mwanawane...unawafanyia kazi wao tuuDu aisee mbona hatari sana hapo, inabidi kuacha kazi na kufanya biashara Sasa au kulima hakuna namna, ela zote zinarudi kwao
🤗🤗🌱🤗🤗,, lakini ni kiasi kidogo cha kodi nahisi! b'se kwa ualimu hela yote inawaludia wao tu.Kwamba biashara hulipi kodi? Hujasikia watu wanagoma kisa kodi huko Kariakoo?
Asilimia thelathini,, unakatwa apo!Mtu akiwa anataka kulipwa million 8,016,000 hapo atakatwa shingapi wakuu
Yaani 2,4mil yote wanasepa nayo 😲😲😲Asilimia thelathini,, unakatwa apo!
30% - ya mshahara wako!
Ahahahaha,, apo bado kodi, hela ya usafiri, vocha, babe hajakupiga, pia jamii ulionayo haijui kama unakatwa inachojua ni kuwa ww una pesa tu.Du aisee mbona hatari sana hapo, inabidi kuacha kazi na kufanya biashara Sasa au kulima hakuna namna, ela zote zinarudi kwao
Hiyo 500k unayopata save 300k kwa mwaka mmoja au miezi 5 fungua tigo pesa mueke shemeji yako aliofeli form4 au alieacha shule kwa mwezi utaweza kupata back up ya 700k
Maisha ni mapaS
🤗🤗🌱🤗🤗,, na hapo ni kila mwezi.Yaani 2,4mil yote wanasepa nayo 😲😲😲
Kweli ndio maana wanabadulisha v8 na furniture kila mwaka🤗🤗🌱🤗🤗,, na hapo ni kila mwezi.
Hamna cha bure,, lazima udaiwe watu wanafurahia boom kumbe ni madeni.Mwalimu kajitunza, hakuna Loan hapo deni mil 21
Kivipi ni unyanyasaji,, ndugu tamuuu.?Hii sio sawa kabisa,huu ni ukandamizaji.
Tanzania inahitaji GEN Z wakali zaidi ya Kenya