Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Mwendo ni ule ule pindi kidogo walimu
Wazazi serious wanapeleka watoto wao privet school
 
Niliwai kugundua ni kama walimu wapo kwenye passive aggressive
 
Nyie ndio mwaharibu wanetu. Qwanza ni lugha gani?
 
Sijui unachoshangaa ni nini kwasababu kwa ajira za Tanzania ukiacha mashirika, hata daktari akikatwa vyote vya hapo anabaki na take home ya laki 8 na kitu kwahiyo difference yake ni laki 3. Hakuna aliyebora. Labda uwe kwenye taasisi au uwe na cheo. Hamna wa kumshangaa mwenzake.
 
Posho analipw sh.ngap
 
Clinical assistant wa tamisemi au wizarani?
 
Hiyo 500k unayopata save 300k kwa mwaka mmoja au miezi 5 fungua tigo pesa mueke shemeji yako aliofeli form4 au alieacha shule kwa mwezi utaweza kupata back up ya 700k

Maisha ni mapambano
Hakika
 
Walimu wenye masters wanalipwa kuanzia kiasi gani?
Hakuna mshahara ngazi ya Elimu ya Masters kama Mwalimu ni muajiriwa chini ya TAMISEMI au WIZARA YA ELIMU. Ila mamlaka nyingine e.g mashirika, taasisi, tume n.k Kuna scale ya Mwalimu ngazi ya Elimu ya Masters degree
 
Kwa anayeanza kazi baada ya Mankato hubaki na kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…