Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #41
Umempa za uso.Kwa hiyo na wazazi wako waliokuzaa (hawa ndiyo walimu wako wa kwanza kabisa kukufundisha kula, kunya, kuvaa nguo, kupiga mswaki, kuoga, kusalimia, kuheshimu wakubwa zako, nk) nao ni ma house boy/girl wako siyo!!!
Kama wewe kweli ni mzazi, basi utakuwa na akili za kitoto kama walivyo hao watoto wako.