Siasa za Afrika ni wizi mtupu. Tulidanganywa mengi tangu enzi za "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA"Tumeambiwa mabarabara ndio yatajengwa hasa kwa wakulima huko ili mazao yasafirishwe vzr na uchumi ukue nasubiri hili. Lisipofanyika hili huu Ni mkenge
Ni bora ukutane na mchawi wa kiume kuliko mchawi wa kike. Lazima akuue. Ndio huyu mama.Mama anasema watanzania wamekubaliana na hizi tozo.
Pengine kitu kinachotusumbua ni kutokuielewa vyema lugha yetu ya taifa(KISWAHILI)kunatofauti kati ya wizi na utapeli,Serikali yetu ni Tapeli(Laghai)Ukilielewa hilo na kulikubali utaishi kwa salama na amani!!Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?
Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.
Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.
Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Aisee!!
Ni bora ukutane na mchawi wa kiume kuliko mchawi wa kike. Lazima akuue. Ndio huyu mama.
mwizi yupo, ni SSH na mwiguluNilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?
Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.
Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.
Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Hata mimi leo niliwaza, hivi mbona haya makato hayazoeleki hata nifanyeje?Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?
Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.
Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.
Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Hizi zinaenda kwa madalali wa chanjo, kazi waliyofanya kumshawishi mama haikuwa ndogo 😂😂Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?
Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.
Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.
Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Hehehheheh, hizo chanjo hata wakinunua 100 na wakasema wamenunua milioni 100 nani atabisha? Maana hakuna anaechomaNaona Mama nae anasema chanjo hazitoshi na zitaisha
Hapo unaona kabisa hela zitahitajika kununua hizo chanjo na wewe na mimi ndio hela zetu zinakusanywa