Makato ya miamala unaweza fikiri kuna mwizi kakuibia live

kasanga70

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
222
Reaction score
515
Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?

Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.

Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.

Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
 
Tumeambiwa mabarabara ndio yatajengwa hasa kwa wakulima huko ili mazao yasafirishwe vzr na uchumi ukue nasubiri hili. Lisipofanyika hili huu Ni mkenge
Siasa za Afrika ni wizi mtupu. Tulidanganywa mengi tangu enzi za "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA"

"KILIMO KWANZA"

"NANYOOSHA NCHI"

n.k
 
Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?

Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.

Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.

Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Pengine kitu kinachotusumbua ni kutokuielewa vyema lugha yetu ya taifa(KISWAHILI)kunatofauti kati ya wizi na utapeli,Serikali yetu ni Tapeli(Laghai)Ukilielewa hilo na kulikubali utaishi kwa salama na amani!!
 
Maisha yamewalemea watanzania hasa mataga mpaka raha yani yalitwambia wapinzani wanachelewesha maendeleo sasa mataga yanalia njaa mbaya !!!
 
Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?

Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.

Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.

Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
mwizi yupo, ni SSH na mwigulu
 
Hata mimi leo niliwaza, hivi mbona haya makato hayazoeleki hata nifanyeje?
 
Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?

Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.

Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.

Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.
Hizi zinaenda kwa madalali wa chanjo, kazi waliyofanya kumshawishi mama haikuwa ndogo 😂😂
 
Back
Top Bottom