kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 222
- 515
Nilianza kuzoea lkn leo imeniuma Sana. Yaani unatoa pesa MPESA tshs laki 390,000 unakatwa tshs elfu 10,000 hivi huu kama sio ujambazi Ni nn lkn?
Kitu pekee Serikali haiwezi kukwambia ni kwamba wameweka malengo ya kukusanya tshs ngapi kwenye miamala ya simu. Naambiwa active line zinazotransact fedha Tanzania zipo million 25.
Sasa piga hesabu kwa siku hata wachukue tshs mia mbili 200 tu kwa Kila line, majibu unayo mwenyewe. Ni trillions kwa muda mfupi Sana.
Kiufupi inauma Sana endapo hizi hela wanazokusanya zitaingia mifukoni mwa wajanja, better zifanye hata maendeleo yaliyokusudiwa.