Makato ya ushuru wa kuweka au kutoa fedha benki na kutuma na kupokea fedha kielektroniki waanza

Ndugu zangu Watanzania wenzangu hatuna budi kumpongeza mhe Dkt Mwigulu Nchemba kwa ubunifu wake mkubwa wa vyanzo vipya vya Mapato kupitia ATM yaani miamala ya kibenki. Hakika ndio barabara tunazoziona,reli,madawa hospitalini,elimu nk. Watanzania naamini watakuunga mkono. Hongera Sana PhD holder.
 
We msifie, halafu kwenye bajeti ya mwaka ujao aongeze tozo, ndo utajua hujui!!
 
Wala. Wananchi wamelala kama makondoo wanabishana kuhusu Simba na Yanga.

Wangekuwa wakali unadhani wangethubutu kufanya huu ujinga? Mama haharibikiwi wala hatishiki, acha makondoo yakatwe fedha ili kina Kinana wapate fedha za kutumbua!
Sad but true
 
Maandamano NI ndoto za abunuas
 
Nunua Madini,eg dhahabu uweke ndani, ni rahisi kuyapata, hayaozi, rahisi kuyahifadhi, yanapanda samani Kila leo.
Unauziwa kipande cha chupa kilichochongwa, unaambiwa ni madini afu cku ukitaka kuuza ndipo reality will smile on you!
 
Ni kweli mama Hana uwezo wa kuongoza ila hiyo 2025 tutamchagua nani binafsi sijaona mpinzani anayeweza kuongoza hii nchi kwahiyo tumuombe tu SSH hatuonee huruma sisi wanyonge
 
Milioni tatu and above haivuki 5000 msilielie sana
Kilichoandikwa kwenye jedwali na makato halisi ni vitu viwili tofauti kabisa kweli hii tozo imeliza watu wengi Bora basi wasingezilundika na kuja kuzitoa kwa mpigo Kuna watu wamekatwa mpaka wakabaki na balance ziro unafika atm hamna kitu unaenda kushinda njaa na watoto nchi ngumu sana hii kwa sasa
 
Well said nakuunga mkono kabisa
 
Milioni tatu and above haivuki 5000 msilielie sana
Hii Tzn ina watu wa ajabu Sana ,eti analalamika kukatwa 4,000 kwenye zaidi ya mil.3 ,hii ni jambo la kushangaza Sana wakati kwenye miamala tuu ya simu unakatwa zaidi ya hiyo kweli laki moja tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…