Makato ya ushuru wa kuweka au kutoa fedha benki na kutuma na kupokea fedha kielektroniki waanza

Makato ya ushuru wa kuweka au kutoa fedha benki na kutuma na kupokea fedha kielektroniki waanza

Hii Tzn ina watu wa ajabu Sana ,eti analalamika kukatwa 4,000 kwenye zaidi ya mil.3 ,hii ni jambo la kushangaza Sana wakati kwenye miamala tuu ya simu unakatwa zaidi ya hiyo kweli laki moja tuu.
Dah.jamaa unaumwa aiseee .kuna wengine wanatoa kila siku ile zipo kwenye mzunguko .maana anakatwa kila siku.
 
Dah.jamaa unaumwa aiseee .kuna wengine wanatoa kila siku ile zipo kwenye mzunguko .maana anakatwa kila siku.
Ndio inavyotakiwa kwa sababu the more you transact the more you contribute to development,so ukiwa na mzunguko mkubwa unachangia mara nyingi etc..

Sasa kuna shida gani hapo? Imeathiri biashara yako?
 
Serikali imekata tozo kwenye miamala yote kuanzia tarehe moja July mwaka huu... Kama akaunti yako haina salio kwa sasa tozo litakatwa punde akaunti ikiwekewa fedha. View attachment 2327409
Hiki ndio kitu ndio nilikuwa nakitafuta had nimefungua Uzi adm naombeni ule Uzi wangu uunganishwe huku kwani majibu nimepata sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndio inavyotakiwa kwa sababu the more you transact the more you contribute to development,so ukiwa na mzunguko mkubwa unachangia mara nyingi etc..

Sasa kuna shida gani hapo? Imeathiri biashara yako?
Broo unajishughurisha na nini?.. Jitu kama wewe mara nyingi ni yale yanayojifanyaga MAKADA kutwa vijiweni kupiga kelele . Yanateteaga hata ukiwa upumbavu ilimradi2 umefanywa na mtu wa upande wake?...

How came ninalipia kodi ya Serikali kila mwezi au kila awam( kwa wafanya biashara), ninalipia kodi kwenye kila muamala niofanya na kutoa risiti, nina lipia kodi kwenye kila kifurushi nichonunua, ninalipia kodi kila ninunuapo mafuta, nina lipia kodi kwenye kila nipoingiza mzigo/ninapotoa mzigo, ninalipia kodi kila ninaweka pesa benki ( kupitia makato ninayokatwa kila mwezi na benki kuna %hulipia kodi), ninalipia kodi nikinunua kifurushi.

Ukiangalia vizuri huo mzunguko ni pesa ileile ambayo imetoka kuwa mshahara au imetoka kuwa mtaji ikazunguka ikapita kila sehem inakatwa kiasi kilichobakia nimeweka benki na chenyewe baada ya kukatwa kila mwezi bado nikitoa kilichobaki wakate tena afu we ushangilie.. hii nchi kuna vijana waseeeeeeeee.******kweli
 
Ni shetani pekee au mwendawazimu anaeweza kutetea huu upunguani wa phd isiyotumia busara na hekima.

Hatuwezi kuendelea kwa kutumia elimu ya darasani pekee, busara na hekima inatakiwa katika 75% ya maamuzi yoyote hasa yanayogusa jamii, huyu waziri mpuuzi anayeamka ns tozo bila kujali kunakotozwa tayari kushakatwa kodi nyingine ni sawa na kichaa, mtu kama huyu mwenye phd ambayo haina busara na hekima bora aende akafundishe vyuoni
Vyuoni wanataka PhD quality sio za mchongo hakuna namna arudi mtaani tu
 
Back
Top Bottom