Mkuu tatizo huyu ana chuki....
#Khantweeee mbona kama ume panik mkuu ukweli ndio ule tatizo ni kwamba huku makazini wakenya kibao na wahindi pia wachina najiuliza hampo mlio soma? Nikabahatika kuipata hyo kwamba wengi hamuwezi Kazi sas mlisoma nini? Uzoefu sio kigezo xha kukosa Kazi msisingizie coz interview mnaitwa ila mnajikanyaga tuu ndio maana wameona bora wawewanahitaji uzoefu SINA BIF NA WASOMI JUST CHALLENGE WAKUU
kwani hizo hela tunachukua bure!?? huwa tunasaidiana kuzirudisha bodi wakianza kukata mishahara yetu.... my money my life, ata nkiamua kuzifanya toilet pepa ni zanguuuuuuuuu
Chuki? Ya nini mimi maisha yanaenda japo kibishi lakini sina hofu na umiliki Wa mabilion baadae japo sina elim kama zenu
Life style ya mtu Ain't your life at all coz every one has a right to live and also to choose what kind of life she/he want, so hata mtu awe na simu hata ya million is up to her/him let them do what their want with their own life coz that money its belongs to them that's why after being employed their have to pay it back,so just leave them as the way they are just let them clubbing,parting but there something their call it supplementary that what will define them!!
Sijui mimi hicho unachoita kupanik......tatizo umekuja kimipasho ungekuja na hoja ya maana tungejadili kistaarabu....af unamaanisha kampuni zinazofanya vizuri no za kigeni tu? Mbona unajinyanyapaa mwenyewe aisee? Kwa taarifa yako kazi yoyote ni kujituma,kuwa mwaminifu na kukubali kujifanza mambo mapya....hakuna muujiza
Mamito unajichosha bure...unaandika kisomi tena uwiii
Unajua ukiwa na stress ukawa unatenbea unaongea pekeyako halafu akatokea mtu akakwambia pole basi we we unaweza kukurupuka kusema unanikejeli kwanini unipe pole? Lakin kumbe jamaa alikua na nia njema tuu! one love wasomi woote komaeni
Lol ati Niko na stress! Me? No
odinga atapita safari hii?Lol ati Niko na stress! Me? No