Makavu live kwa mnaoenda vyuoni

Makavu live kwa mnaoenda vyuoni

Mkuu tatizo huyu ana chuki. Ameanza kwa makavu laivu na mimi namjibu kwa makavu laivu kwani shngapi
 
mi napita tu,sioni ht jibu la kumpa uzi wake umejaa jazba htr.
 
#Khantweeee mbona kama ume panik mkuu ukweli ndio ule tatizo ni kwamba huku makazini wakenya kibao na wahindi pia wachina najiuliza hampo mlio soma? Nikabahatika kuipata hyo kwamba wengi hamuwezi Kazi sas mlisoma nini? Uzoefu sio kigezo xha kukosa Kazi msisingizie coz interview mnaitwa ila mnajikanyaga tuu ndio maana wameona bora wawewanahitaji uzoefu SINA BIF NA WASOMI JUST CHALLENGE WAKUU
 
Chuki? Ya nini mimi maisha yanaenda japo kibishi lakini sina hofu na umiliki Wa mabilion baadae japo sina elim kama zenu
 
Sijui mimi hicho unachoita kupanik......tatizo umekuja kimipasho ungekuja na hoja ya maana tungejadili kistaarabu....af unamaanisha kampuni zinazofanya vizuri no za kigeni tu? Mbona unajinyanyapaa mwenyewe aisee? Kwa taarifa yako kazi yoyote ni kujituma,kuwa mwaminifu na kukubali kujifanza mambo mapya....hakuna muujiza
 
Life style ya mtu Ain't your life at all coz every one has a right to live and also to choose what kind of life she/he want, so hata mtu awe na simu hata ya million is up to her/him let them do what their want with their own life coz that money its belongs to them that's why after being employed their have to pay it back,so just leave them as the way they are just let them clubbing,parting but there something their call it supplementary that what will define them!!
 
kwani hizo hela tunachukua bure!?? huwa tunasaidiana kuzirudisha bodi wakianza kukata mishahara yetu.... my money my life, ata nkiamua kuzifanya toilet pepa ni zanguuuuuuuuu

Ujumbe Murua toka kwa msomi wa chuo.!!!
 
Chuki? Ya nini mimi maisha yanaenda japo kibishi lakini sina hofu na umiliki Wa mabilion baadae japo sina elim kama zenu

Una chuki ndio na kwa chuki hii u have a long way to go....maisha ni kutegemeana lakini kwa roho mbaya hii uliyonayo nina hakika huwezi kushirikiana na msomi wala huwezi kumpa msomi akufanyie kazi
 
Life style ya mtu Ain't your life at all coz every one has a right to live and also to choose what kind of life she/he want, so hata mtu awe na simu hata ya million is up to her/him let them do what their want with their own life coz that money its belongs to them that's why after being employed their have to pay it back,so just leave them as the way they are just let them clubbing,parting but there something their call it supplementary that what will define them!!

Mamito unajichosha bure...unaandika kisomi tena uwiii
 
Yeye naona ndo kapaniki maana kaja na vumbi hapa ,yeye naisi ana msongo wa maisha, brother just calm down sio wote walioko hapa JF their have high level of education,also having a high level of education doesn't mean that your life itakuwa rahisi or your rich not at all the important issue is to struggle to face success and not think that success will face you never ever just face success and success will face you and your life will be easier
Sijui mimi hicho unachoita kupanik......tatizo umekuja kimipasho ungekuja na hoja ya maana tungejadili kistaarabu....af unamaanisha kampuni zinazofanya vizuri no za kigeni tu? Mbona unajinyanyapaa mwenyewe aisee? Kwa taarifa yako kazi yoyote ni kujituma,kuwa mwaminifu na kukubali kujifanza mambo mapya....hakuna muujiza
 
Unajua ukiwa na stress ukawa unatenbea unaongea pekeyako halafu akatokea mtu akakwambia pole basi we we unaweza kukurupuka kusema unanikejeli kwanini unipe pole? Lakin kumbe jamaa alikua na nia njema tuu! one love wasomi woote komaeni
 
Hahahahah afadhali umejigundua.....hakika una stress...pole sana
 
Back
Top Bottom