The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ndugu wanajamvi.
Kwa kasi yanukuaji wa jiji la Dar.es salaam ni dhahiri kwamba Mila basada ya Mila kumi.panaibuka makazi mengine ya kishua ukiachana na Yale ya uswazi anbayo yanakera sana na Hakuna ustarabu.
Baadhi ya maakazi ya watu wa kipato cha kati na kishua ya hivi karibuni Ambayo Kwa sasa yameonekana kujaa na gharama ya aridhi Ipo marudufu ni kama ifuatavyo.
1.Tabata
2 Goba
3. Kinyerezi.
4. Bunju
5. Kibamba.
6. Kijichi.
7. Maweni..
Etc
Kwa kijana anayetaka kuja kuwa mshua baadae unamshauri Anunue wapi maeneo mapya.ambapo patakuja kuwa ushuani baadae kama kijichi/Tábata/Goba etc. Ambako bei ya viwanja Bado haijawaka sana.
Nawasilisha