The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ndugu wanajamvi.
Kwa kasi yanukuaji wa jiji la Dar.es salaam ni dhahiri kwamba Mila basada ya Mila kumi.panaibuka makazi mengine ya kishua ukiachana na Yale ya uswazi anbayo yanakera sana na Hakuna ustarabu.
Baadhi ya maakazi ya watu wa kipato cha kati na kishua ya hivi karibuni Ambayo Kwa sasa yameonekana kujaa na gharama ya aridhi Ipo marudufu ni kama ifuatavyo.
1.Tabata
2 Goba
3. Kinyerezi.
4. Bunju
5. Kibamba.
6. Kijichi.
7. Maweni..
Etc
Kwa kijana anayetaka kuja kuwa mshua baadae unamshauri Anunue wapi maeneo mapya.ambapo patakuja kuwa ushuani baadae kama kijichi/Tábata/Goba etc. Ambako bei ya viwanja Bado haijawaka sana.
Nawasilisha
1 na 5 upo Sawa zingine sidhani1. Mbweni-Kiharaka/Zinga/Kitopeni/Kiromo/ Mapinga/ Kerege (Bagamoyo Pwani)
2. Chanika/Bombambili/Majoe/Buyuni (Ilala Dar es Salaam)
3. Vikindu/Vianzi/ Mkuranga/ (Mkuranga Pwani)
4. Machimbo/Zingiziwa/Mbande/Kitonga (Temeke &Ilala Dar es Salaam)
5. Madale/ mbopo/Msakuzi/ Mambwepande (Ubungo& Kinondoni Dar es Salaam)
Sema tu usiogope. Hapanunuliki hukoo kama huna M30+Ila Tabata? Basi ngoja nikae kimya tuu.
Ujinga wa watz sasa uliowataja wanakaa au wanafuga tu maeneo wayauze sasa ww mtu na akili unacha mji unaenda kaa kwenye kenge na maji ya malabo ma mgombe dah kweli wahindi wana akiliKuna eneo sio maadufu kivile , ni kati ya bunju , mabwe , mbopo na wazo linaitwa kinondo.
Pale kuna wakuu wengi wana maeneo ya haja , mf sumaye ana hekta kadhaa, inasemekana pia Ridhiwani ana eneo km za mraba kadhaa, na amezungusha Uzio.
Bado hapajawa bei sana ila pana hadhi yake huki mbeleni.