Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wasomi wachache bhana, wengi ni wale watumia nguvu, wapasua matofali kwa vichwaUtani tu ila kule kuna wasomi wengi.[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasomi wachache bhana, wengi ni wale watumia nguvu, wapasua matofali kwa vichwaUtani tu ila kule kuna wasomi wengi.[emoji1]
Kwa serikali ni kifusi hicho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyumba za watu unaita kifusi
Serikali iwajengee makazi na pia wakubwa wa maheleza wanawatumia vipi wafungwa kuleta tija ?Ww jamaa ni mzalendo kweli kweli. Japo huwakubali askari lakini unawatetea. Hiyo ni nzuri.
Lakini ungenipa moja mbili, huwa ni kwanini huwakubali?
YESU NI MWOKOZI
Nahisi, askari hasa polisi au magereza si vyema kukaa uraiani kwa sababu za kiusalama.Ngoja niulize kitu kwani hawa askari hawalipwi mishahara? Na je kama wanalipwa kwa nn wasijiongeze kutafuta makazi kwa mshahara wake kama walivyo wafanyakazi wengine.
Hao ndio hadhi yao kutokana na roho mbaya zao,wanatakiwa kukaa nyumba z tembeJana nilifanikiwa kupita maeneo ya makazi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) pale Ukonga, Dar Es Salaam.
Ni makazi duni sana, yamechakaa, hayastahili kukaliwa kwa sasa! Japo sijawahi kuwakubali askari, lakini kama wanajitahidi kulitumikia Taifa, kwanini Serikali isiwaangalie kwa jicho la pekee?
Zile nyumba pale hazifai kabisa ni udhalilishaji kwa wapiganaji wetu ambao wamejitolea maisha yao kwajili ya taifa. Waziri Simbachawene hebu liangalie hili kwa jicho la upekee!
Nawasilisha.
View attachment 1830116
View attachment 1830122
View attachment 1830123
View attachment 1830124
Vijumba vidogo hata ukikaa humo na uwezo wako wa kufikiri unakua mdogo unawaza kung'arisha buti, kuwahi lindo na kula ugali mkubwa, kunywa safari lager kubwa ya moto na kufuga bata.Jana nilifanikiwa kupita maeneo ya makazi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) pale Ukonga, Dar Es Salaam.
Ni makazi duni sana, yamechakaa, hayastahili kukaliwa kwa sasa! Japo sijawahi kuwakubali askari, lakini kama wanajitahidi kulitumikia Taifa, kwanini Serikali isiwaangalie kwa jicho la pekee?
Zile nyumba pale hazifai kabisa ni udhalilishaji kwa wapiganaji wetu ambao wamejitolea maisha yao kwajili ya taifa. Waziri Simbachawene hebu liangalie hili kwa jicho la upekee!
Nawasilisha.
View attachment 1830116
View attachment 1830122
View attachment 1830123
View attachment 1830124
Askari ni wachafu sana aisee nenda pale msimbazi polis uone wanavyoishi nyuma ya kituoNinachokiona hapo wapiganaji ni wachafu. Siyo majengo kuchakaa
Polisi si kazi ya dhambi ila matendo ndio huingiza watu katika dhambi:-Pole yao sana, kazi yao pia ni ya dhambi sana...
Jana nilifanikiwa kupita maeneo ya makazi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) pale Ukonga, Dar Es Salaam.
Ni makazi duni sana, yamechakaa, hayastahili kukaliwa kwa sasa! Japo sijawahi kuwakubali askari, lakini kama wanajitahidi kulitumikia Taifa, kwanini Serikali isiwaangalie kwa jicho la pekee?
Zile nyumba pale hazifai kabisa ni udhalilishaji kwa wapiganaji wetu ambao wamejitolea maisha yao kwajili ya taifa. Waziri Simbachawene hebu liangalie hili kwa jicho la upekee!
Nawasilisha.
View attachment 1830116
View attachment 1830122
View attachment 1830123
View attachment 1830124
Haya huwa hawayaelewi labda tu yaingizwe kwenye mtaala wao huko wanakosoma-Ukiwa polisi mla rushwa utapata dhambi.
-Ukiwa mbambika kesi utapata dhambi.
-Ukiwa mdhurumati utapata dhambi.
Haya huwa hawayaelewi labda tu yaingizwe kwenye mtaala wao huko wanakosoma
Kwa ujumla hawa viumbe ndivyo walivyo; wewe unaweza uka-puu alafu ukaimbia serikali ije kumwaga maji: ?Jana nilifanikiwa kupita maeneo ya makazi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) pale Ukonga, Dar Es Salaam.