Makazi ya FFU Ukonga yaangaliwe upya, yamechakaa sana

yani nyumba za uhuru mpaka leo zinatumika inatakiwa tujitafakari
 
mpwayungu village
 
Hawa makazi Yao yapo duni lengo ni kuwafanya wawe na hasira ili wapinzani wakiandamana wawapige
 
Alafu hata usafi wa mazingira yao wanasubiri pia serikali?!
 
Ulikua unapiga huku unajifanya kama unatafuta namba ya mtu au kujifanya unaongea loudspeaker
 
Makazi hayo yasiboreshwe ili akili ziwakae sawa kwa kuwabeba "waovu".
Kwanza makazi yaboreshwe kwa kazi nzuri ambayo wamewafanyia Watanzania zaidi ya kusababisha mauaji ya kiholela ya raia na kusaidia wizi wa kura nyakati za uchaguzi ??
 
Acha wakome wakipitaka na magwanda yao wanaonaga wameyapatia kumbe ni tabulele!
 
Hebu pitiana huko Dodoma uone makazi ya hawa jamaa. Hakika utashangaa kuziona uniport na vijumba walivyojijengea ili tu maisha yaende. Waoneeni huruma, hawa pia ni wenzetu.
 
Kuchakaa ndio hata na usafi usifanyike au majengo yametelekezwa
 
Ungesogea kwa juu kule uone askari magereza wanaishi kwenye full suit bati chini hadi juu
Yani usipopata hasira pale hupati tena mahali pengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…