MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Picha iko wapi?Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala.
Tofauti ya Mbowe na viongozi wengi wa chama tawala, Mbowe anasimamia biashara zake mwenyewe, analipa kodi zote muhimu na anajiendesha kwa kuzingatia sheria za nchi.
Wakati huo viongozi wa chama tawala wengi wanachofanya nikuiba na kula ; hawana muda wa nafasi ya kuziendeleza mali zao. Kila siku wanabaki kuwa watumwa wa mtawala wasikamatwe kwa wizi, ubadhirifu na ukwepaji wa kodi.
Vijana mnapotafakari kesho yenu, tangulizeni kwanza fikra na nguvu katika kutafuta utajiri wa haki ndipo mgombee nafasi za kuongoza watu kwa haki.
Mzee Mbowe na familia yake wanatufundisha umuhimu wa kujitegemea. Uteuzi iwe Sehemu tu ratiba ya maisha ila siyo maisha. Usipojifunza kusimama mwenyewe watakuoshiriki kukusimamisha lazima wakupe adhabu ya kulipa fadhila na kuwaabudu
Makazi ya Mbowe, utajiri wake na roho yake ikawe dira ya kutafuta utajiri na madaraka ya haki
Picha bila uzi kweli?Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala.
Tofauti ya Mbowe na viongozi wengi wa chama tawala, Mbowe anasimamia biashara zake mwenyewe, analipa kodi zote muhimu na anajiendesha kwa kuzingatia sheria za nchi.
Wakati huo viongozi wa chama tawala wengi wanachofanya nikuiba na kula ; hawana muda wa nafasi ya kuziendeleza mali zao. Kila siku wanabaki kuwa watumwa wa mtawala wasikamatwe kwa wizi, ubadhirifu na ukwepaji wa kodi.
Vijana mnapotafakari kesho yenu, tangulizeni kwanza fikra na nguvu katika kutafuta utajiri wa haki ndipo mgombee nafasi za kuongoza watu kwa haki.
Mzee Mbowe na familia yake wanatufundisha umuhimu wa kujitegemea. Uteuzi iwe Sehemu tu ratiba ya maisha ila siyo maisha. Usipojifunza kusimama mwenyewe watakuoshiriki kukusimamisha lazima wakupe adhabu ya kulipa fadhila na kuwaabudu
Makazi ya Mbowe, utajiri wake na roho yake ikawe dira ya kutafuta utajiri na madaraka ya haki
Nayeye hajaoa masikiniFreeman Mbowe ni mtoto wa kishua,
Tena ni borntown haswa.
Mzee Aikael alikuwa na mishe kibao, yaani kifupi mama yake Mbowe hakumpa uchi mwanaume maskini
Kuna mawaziri wetu wangefikia hata utajiri wa Mbowe pengine ile nyumba isingekuwa machame, ingekuwa
Amsterdam, au Brussels huko
Pale njiapanda kuelekea Narumu, kabla ya kufika Moshi ukiwa unatokea mjini Arusha.Nyumba iko wap sasa
Mwenye akili iliyoona ruzuku za mbowe pata kumuuliza mleta mada ameongelea nini kubwa zaidi ukitoa nyumba , punguza kutumia masabuli kwenye kila Jambo.Akili yako imeishia kuona jengo la nyumba tu. Tuna vijana wa hovyo sana in JPM voice
Waeleze kuwa babake alikuwa mwenyeji wa nyerere mjiniFreeman Mbowe ni mtoto wa kishua,
Tena ni borntown haswa.
Mzee Aikael alikuwa na mishe kibao, yaani kifupi mama yake Mbowe hakumpa uchi mwanaume maskini
Kuna mawaziri wetu wangefikia hata utajiri wa Mbowe pengine ile nyumba isingekuwa machame, ingekuwa
Amsterdam, au Brussels huko
Una maanisha Mbowe huyu huyu Mwenyekiti wa Chadema kwa zaidi ya robo karne huku chama kikiwa hakina ofisi za kueleweka wakati hupokea ruzuku za kutosha achilia mbali michango ya wanachama.Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala.
Tofauti ya Mbowe na viongozi wengi wa chama tawala, Mbowe anasimamia biashara zake mwenyewe, analipa kodi zote muhimu na anajiendesha kwa kuzingatia sheria za nchi.
Wakati huo viongozi wa chama tawala wengi wanachofanya nikuiba na kula ; hawana muda wa nafasi ya kuziendeleza mali zao. Kila siku wanabaki kuwa watumwa wa mtawala wasikamatwe kwa wizi, ubadhirifu na ukwepaji wa kodi.
Vijana mnapotafakari kesho yenu, tangulizeni kwanza fikra na nguvu katika kutafuta utajiri wa haki ndipo mgombee nafasi za kuongoza watu kwa haki.
Mzee Mbowe na familia yake wanatufundisha umuhimu wa kujitegemea. Uteuzi iwe Sehemu tu ratiba ya maisha ila siyo maisha. Usipojifunza kusimama mwenyewe watakuoshiriki kukusimamisha lazima wakupe adhabu ya kulipa fadhila na kuwaabudu
Makazi ya Mbowe, utajiri wake na roho yake ikawe dira ya kutafuta utajiri na madaraka ya haki
Kipindi hicho babu yake mbowe anapambana babu yako anafukuzia mademu maporini huko.. teh tehMbowe kazaliwa kakuta baba ni milionea. Mzee Aikaeli Mbowe alikuwa tajiri mkubwa kabla ya uhuru na ni mnufaika wa matunda ya uhuru. Ile keki ya taifa inayotajwa yeye Mzee Aikaeli alijimegea kipande cha kutosha. Isitoshe Mbowe alikuwa mjanja kupata baba mkwe tajiri ambaye akamrithisha biashara ya chama. Kwenye msiba wa Mzee Aikaeli ilikuwa kama sherehe.