Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah wahuni wameona nyumba tuu wanatema mate kama koboko aisee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie hao....Machame nyumba za ainahiyo zipoje kibao kuanzia kulejuu Nronga Masama Kibosho Umbwe Mailisita Tena nzuri kuliko hiyo ya hapo Nshara Kwa Mbowe
Hivyo ma White House kibao!!!
Sikia Mgaratia ooh sorry mkorinto ipo hivi, njia ya mafanikio anayopitia mwenzako ni tofauti na yako itakayokutoa....
Unaamua kuingia zako field ukiwa na viapo vyote,ukiishatia mguu ndipo unagundua hapa hakuna cha kuuza simu tunapangana kilofa tu.
Ehehehehhhhhhhhh!!!! Hela za Machame zinaishia Chadema;;;;;;Ruzuku ya chadema inaishia machame
Najua kuwa usalama ni TISS, sikujua kwamba kuna kifupisho cha UWT, elimu haina mwisho asante kwa kunifahamisha.UWT si ndio "Usalama Wa Taifa" kwa humu JF tangu ilipoanzishwa!!??
Pole kwa kuwa mgeni wa JF.
UWT hii siyo hiyo ya Umoja wa Wanawake wa CCM.
KunYWa soda 7 unaonyesha ulivyo mkafiMbowe kazaliwa kakuta baba ni milionea. Mzee Aikaeli Mbowe alikuwa tajiri mkubwa kabla ya uhuru na ni mnufaika wa matunda ya uhuru. Ile keki ya taifa inayotajwa yeye Mzee Aikaeli alijimegea kipande cha kutosha. Isitoshe Mbowe alikuwa mjanja kupata baba mkwe tajiri ambaye akamrithisha biashara ya chama. Kwenye msiba wa Mzee Aikaeli ilikuwa kama sherehe. Mimi nilikuwa mdogo nakumbuka nilikunywa soda 7 pale msibani ndani ya masaa machache. Ukiachana na biashara zingine kwa zile ruzuku na maokoto ya Covid19 lazima angejenga hekali kali.
KunYWa soda 7 inaonyesha ulivyo mlafi!Mbowe kazaliwa kakuta baba ni milionea. Mzee Aikaeli Mbowe alikuwa tajiri mkubwa kabla ya uhuru na ni mnufaika wa matunda ya uhuru. Ile keki ya taifa inayotajwa yeye Mzee Aikaeli alijimegea kipande cha kutosha. Isitoshe Mbowe alikuwa mjanja kupata baba mkwe tajiri ambaye akamrithisha biashara ya chama. Kwenye msiba wa Mzee Aikaeli ilikuwa kama sherehe. Mimi nilikuwa mdogo nakumbuka nilikunywa soda 7 pale msibani ndani ya masaa machache. Ukiachana na biashara zingine kwa zile ruzuku na maokoto ya Covid19 lazima angejenga hekali kali.
Mkuu umemaliza kabisaUsimuelezee sana mtu usiyemjua.
Watu tumefahamiana tu mjini hapa,hakuna anayemjua mwenzake kiundani.
Lakini pia,siasa yenyewe ni biashara inayolipa vizuri tu.
Day light dreaming?!Chuki zilizomfanya apoteze yote hayo ziliishia wapi?. Kutoka jela leo kesho ukaenda ikulu ni ishara kwamba mfumo unakufahamu vyema na yeye ni sehemu ya viongozi japo sio wa moja kwa moja.
Vijana wa makumbusho [emoji23][emoji23]...Tabia ya kuhamasika na kila yanayoonekana kuwa ni mafanikio ndio imefanya vijana wengi kukata tamaa na kuishia kujiua au kulewa wakati wote.
Unaiona nyumba nzuri ya mbowe,unahamasika unaamua kuiga anachofanya kwa nia nzuri kabisa.
Yah,Kwanini huyu auze simu mpaka ananunua range mimi nishindwe!!!
Unaamua kuingia zako field ukiwa na viapo vyote,ukiishatia mguu ndipo unagundua hapa hakuna cha kuuza simu tunapangana kilofa tu.
Mbowe hachukui hata mia kutoka CHADMEA. CDM haimnufaishi Mbowe chochote.
Mbowe hii nyumba ni ya kijijini, zipo Moshi, Arusha, Dodoma na Dar es salaam.Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala.
Tofauti ya Mbowe na viongozi wengi wa chama tawala, Mbowe anasimamia biashara zake mwenyewe, analipa kodi zote muhimu na anajiendesha kwa kuzingatia sheria za nchi.
Wakati huo viongozi wa chama tawala wengi wanachofanya nikuiba na kula ; hawana muda wa nafasi ya kuziendeleza mali zao. Kila siku wanabaki kuwa watumwa wa mtawala wasikamatwe kwa wizi, ubadhirifu na ukwepaji wa kodi.
Vijana mnapotafakari kesho yenu, tangulizeni kwanza fikra na nguvu katika kutafuta utajiri wa haki ndipo mgombee nafasi za kuongoza watu kwa haki.
Mzee Mbowe na familia yake wanatufundisha umuhimu wa kujitegemea. Uteuzi iwe Sehemu tu ratiba ya maisha ila siyo maisha. Usipojifunza kusimama mwenyewe watakuoshiriki kukusimamisha lazima wakupe adhabu ya kulipa fadhila na kuwaabudu
Makazi ya Mbowe, utajiri wake na roho yake ikawe dira ya kutafuta utajiri na madaraka ya haki.
View attachment 2812303
Hata hekma na namna anaongea kwa compusure kuliko hata mawaziri wetu na wanaoteua mawaziri.Kiukweli Mwamba Mboe ni wakuigwa kalibia kila kitu.