Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Hiyo nyumba imekuwa kichocheo cha wengi kupambana kwenye haya maisha, sio ya michango hiyo, hiyo ni nyumba ya familia ya wafanyabiashara, ukitaka kupata jibu zuri la uwepo wa hiyo nyumba, kwanza uwe na ndoto positive, pili usichanganye mawazo ya kimasikini pale ukijiuliza hiyo nyumba ilipatikanaje.
 
Watu wenye njaa mda shida sana, na hizi chuki zenu hazijawahi wasaidia mkaacha kula dagaa, mna dhiki tabu, njaa na ufukara, badala mtulie muombe Mungu mpambane, mnaendekeza Majungu, umbea na uzandiki.
Umeshapanic πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…