Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
3,915
Reaction score
6,272
Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel.

IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo ambulance imeonekana hapo
Mashuhuda wanasema mlipuko ulikuwa mkubwa

=============

Drone launched at Netanyahu home in northern Israel, spokesman says​

By Reuters
October 19, 202410:21 AM GMT+3Updated 19 min ago

JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.

Earlier, the Israeli military said that a drone was launched from Lebanon
 

Attachments

  • IMG_1269.jpeg
    IMG_1269.jpeg
    473.3 KB · Views: 6
Na amedhiirisha uwezo huo kwa vitendo, ndani Iran, Lebanon na kwinginepo. Kuua Majenerali muhimu wa Iran, wanasayansi muhimu, viongozi wa Hizibullah na Hamas sio kitu simple
Watu wanazaliwa kila siku,wanasoma ,wanapata mafunzo,ukiua 1 anawekwa mwingine.
Bado mataifa yana import watu wenye professional kwenda kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom