Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And before this war is over, we prove that even the god king can bleed.Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa israel huko caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya israel,drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za israel
IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo ambulance imeonekana hapo
Mashuhuda wanasema mlipuko ulikua mkubwa
Drone launched at Netanyahu home in northern Israel, spokesman says
By Reuters
October 19, 202410:21 AM GMT+3Updated 19 min ago
JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.
Earlier, the Israeli military said that a drone was launched from Lebanon
Tangu kuanza kwa vita Netanyau haishi nyumbani kwake bali anaishi kwenye handaki.Beirut itawaka very soon.
Kuuliwa kwa Netanyahu si leo au kesho, ila yeye najua lazima amuue Ayatollah
Kweli tumuombee Bibi afe, atangulie jehanum mapemaTumuombee bibi...
Itafika mahala watajua kwa nini Jordan, Egypt, Saudis, UAE wamekaa pembeni, sio wajinga kushindana na mtu aliyekuzidi ni ujinga, ndani kabisa ya mifumo ya kiusalama ya Iran, Israel kapandikiza Mossad waarabu wenzao ndio maana anapata taarifa za uhakika hata location za viongozi wao na mipango yao mapema sana. Rais mstaafu wa Iran Ahmednajjad amekiri waliwahi kugundua mawakala 20 ndani ya kitengo maalumu cha kupambana na Mossad. Hata kifo cha Ibrahim Rais kwa ajali ya Helkopta ni shughuli ya Mossad, kuunganisha dots kumbuka kulipuliwa kwa pagers za wapiganaji wa Hezbollah tu huko LebanonWatu wanazaliwa kila siku,wanasoma ,wanapata mafunzo,ukiua 1 anawekwa mwingine.
Bado mataifa yana import watu wenye professional kwenda kufanya kazi.
Anapoishi ndio anaishi wewe ujue ili iwejeAnaishi wapi?
Wanajipigia tu bila taarifa za inteligensia, wenzao wakipiga ujue gaidi amerest in piecesAsubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa israel huko caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya israel,drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za israel
IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo ambulance imeonekana hapo
Mashuhuda wanasema mlipuko ulikua mkubwa
Drone launched at Netanyahu home in northern Israel, spokesman says
By Reuters
October 19, 202410:21 AM GMT+3Updated 19 min ago
JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.
Earlier, the Israeli military said that a drone was launched from Lebanon
Ukiua kwa upanga utauawa kwa upangaAsubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa israel huko caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya israel,drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za israel
IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo ambulance imeonekana hapo
Mashuhuda wanasema mlipuko ulikua mkubwa
Drone launched at Netanyahu home in northern Israel, spokesman says
By Reuters
October 19, 202410:21 AM GMT+3Updated 19 min ago
JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.
Earlier, the Israeli military said that a drone was launched from Lebanon
Wale wako pembeni hawapati athari ya moja kwa moja na huyo msabato huwezi kumwambia mtu wa gaza ambae mizaituni yake inachomwa kila wanapojiskia akae mbali hio itakua ni akili kweliItafika mahala watajua kwa nini Jordan, Egypt, Saudis, UAE wamekaa pembeni, sio wajinga kushindana na mtu aliyekuzidi ni ujinga, ndani kabisa ya mifumo ya kiusalama ya Iran, Israel kapandikiza Mossad waarabu wenzao ndio maana anapata taarifa za uhakika hata location za viongozi wao na mipango yao mapema sana. Rais mstaafu wa Iran Ahmednajjad amekiri waliwahi kugundua mawakala 20 ndani ya kitengo maalumu cha kupambana na Mossad. Hata kifo cha Ibrahim Rais kwa ajali ya Helkopta ni shughuli ya Mossad, kuunganisha dots kumbuka kulipuliwa kwa pagers za wapiganaji wa Hezbollah tu huko Lebanon