Itafika mahala watajua kwa nini Jordan, Egypt, Saudis, UAE wamekaa pembeni, sio wajinga kushindana na mtu aliyekuzidi ni ujinga, ndani kabisa ya mifumo ya kiusalama ya Iran, Israel kapandikiza Mossad waarabu wenzao ndio maana anapata taarifa za uhakika hata location za viongozi wao na mipango yao mapema sana. Rais mstaafu wa Iran Ahmednajjad amekiri waliwahi kugundua mawakala 20 ndani ya kitengo maalumu cha kupambana na Mossad. Hata kifo cha Ibrahim Rais kwa ajali ya Helkopta ni shughuli ya Mossad, kuunganisha dots kumbuka kulipuliwa kwa pagers za wapiganaji wa Hezbollah tu huko Lebanon