Kamuombee wewe na familia yako,unaamini ataishi kwa raha mda wake uliobakia?Tumuombee bibi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuombee wewe na familia yako,unaamini ataishi kwa raha mda wake uliobakia?Tumuombee bibi...
Dah, wamefeli vibaya sana...
Dah, wamefeli vibaya sana...
Wanajipigia tu bila taarifa za inteligensia, wenzao wakipiga ujue gaidi amerest in pieces
Na ndicho ambacho ninachokiona!Kwa hio mkuu ausubuhi anatokea shimoni kuelekea ofisini 😂😂
Mbona maisha magumu sana haya...
By the way, ninachoona Iran inaweza kuratibu mauaji ya kiongozi yeyote wa Israel.
Ameshindwa kumua toka 1979 ndio ataweza leo
Huyu Ameanza kukalia kiti 1989, yule wa 1979 ni baba yake. Amerithishwa kiti kutoka kwa baba yake.Ameshindwa kumua toka 1979 ndio ataweza leo
Subiri babako afe utapata jibuKwahio apelekewe moto hapo hapo kwenu
Kwa hiyo maisha yamegeuka msala wa kutafutana na kutifuana hivyo?Saivi wanaanza kufuatilia viongozi atakae jisahau tu atalambaa mchanga
Naona hata mimi, lakini Hezbollah si mchezo.Lugha sahihi ni kuwa wako uchi
Ndugu yangu, jana siyo leo. Tusikariri vipimo kiasi hicho. Ndo maana huko nyuma hawakuweza kuishambulia Israel nyumbani kwake lakini leo Israel inaingiliwa mpaka chumbani kwake.Ameshindwa kumua toka 1979 ndio ataweza leo
Kwa sababu viongozi wa Israel wanechagua hayo maisha acha wapambane.Na ndicho ambacho ninachokiona!
Tukio la mara ya kwanza lilimlenga mnadhimu mkuu wa jeshi.
Tukio la pili limemlenga Benjamin Netanyahu.
Kinachoonekana Hizbullah nao wanafanya msako wa kuwaondoa viongozi wa wakubwa wa Israel.
Changamoto ni hizi drones wanazozitumia ni tishio kwa Israel.
Kuanzia leo Netanyau hawezi kukaa hadharani.Naona hata mimi, lakini Hezbollah si mchezo.
Kumbe muda wote wana intel ya nyumba ya Neta ila walikaa kimya tu..
Na sidhani kama wataweza ku fix hizo air defenses this soon.
Netanyahu yupo hatarini, anawindwa na yeye, sijui kama atajitokeza tena hadharani.