Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Wanaukumbi.

#BREAKING Kulingana na Hebrew Media, makazi ya kibinafsi ya Netanyahu huko Caesarea yalipigwa na ndege zisizo na rubani za kujitoa mhanga zilizozinduliwa na Hezbollah mapema leo.

Hatima na hali yake haijulikani kwa sasa. Lakini imethibitishwa kuwa alikuwa ndani ya makazi hayo wakati ndege zisizo na rubani zilipoipiga.

Ofisi ya Netanyahu inakataa kutoa maoni yake kuhusu aliko Waziri Mkuu wakati wa mgomo wa moja kwa moja kwenye makazi yake ya kibinafsi huko Kaisaria.

Ambulances zinaonekana mbele ya makazi yake pia.
=========================

View: https://x.com/warintel4u/status/1847556152197804499?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wewe unaamini kachero komando wa jeshi mkongwe anaweza kuwa anaishi kwenye makazi yake rasmi kipindi cha vita?
 
Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel.

IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo ambulance imeonekana hapo
Mashuhuda wanasema mlipuko ulikuwa mkubwa

Drone launched at Netanyahu home in northern Israel, spokesman says​

By Reuters
October 19, 202410:21 AM GMT+3Updated 19 min ago



JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.

Earlier, the Israeli military said that a drone was launched from Lebanon
Hello kaislamist ka Buza! kaallah kenu ndiyo kamewadanganya mfanye hilo jaribio! na unajiburudisha na hizo taarifa ulizopewa? Ni kweli kumekuwa hilo jaribio. Sasa ni kwambie kitu!! ? Waingereza wana usemi " you are poking the bear" mmempa Netanyahu kila sababu ya kukamalizia kababu kenu KaAyatollah Ali Khamenei. Maana mwamba yuko salama hiyo drone yenu ya shahed ime fail
 
Back
Top Bottom