Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Asante Sinwar amekufa kiume anapambania nchi yake. Hasira mnazo nyie hapo Netanyahu kapigwa Drone na Hezbollah mwambie awe makini anatafutwa roho yake
Ila tuwe wakweli, Hili shambulizi ni maafisa wa Iran wametekeleza, kama ni Hezbollah basi ni kwa maelekezo ya wana intelijensia kutoka Iran.

Hapa ndipo nimeanza kuelewa kwanini Iran walisema Israel akijibu watarudisha mashambulizj makali zaidi.

Na sidhani kama lile shambulio la missiles 200 walikuwa hawajui hio nyumba ipo wapi..
 
Anafikiri serikali ya Israel ni sawa na serikali ya CCM, na sio mlipuko tu incident yyte hata kama ni ndogo.
Ila tuwe wakweli, Hili shambulizi ni maafisa wa Iran wametekeleza, kama ni Hezbollah basi ni kwa maelekezo ya wana intelijensia kutoka Iran.

Hapa ndipo nimeanza kuelewa kwanini Iran walisema Israel akijibu watarudisha mashambulizj makali zaidi.

Na sidhani kama lile shambulio la missiles 200 walikuwa hawajui hio nyumba ipo wapi..

View: https://x.com/DrEliDavid/status/1847558493814804989?t=ORCIRM7vD0DF2PnvZxO67A&s=19

Iran wanaangaika kweli kama vile hawana kazi zingine za kufanya
 
Ukitaka kuteseka moyoni siku zote shabiki uarabu na uislamu kila siku utaumia moyoni, utajifariji kuwa Putin ni rafiki yetu ila ukikumbuka alivyowafyeka waislamu wa Chechniya hapo tena unamchukia.. unaisifia China kuwa ni kiboko ya marakeni lakini unakumbuka inavyowanyanyasa waislamu nchini humo.. kufumba na kufumbua unajinanga tena kuwa Kiduku wa North Korea ni komesha ya US ila linakuja wazo kuwa kule ukionekana na Quran ni ku-request kifo ..unabaki ni simanzi tu kwa nini unashabikia itikadi yenye laana.
 
Kuna aspects tofauti ziliangaziwa kwa nini viongozi si busara kuuliwa ikitokea vita baina ya pande mbili. Lakini iliangazia kwenye viongozi wa kisiasa si wa kijeshi International Law; Geneva Conventions.

Hii miiko iliwekwa ili kuweza kuangaziwa na kuamuliwa lipi ni baya na lipi ni sahihi kufanywa wakati wa vita. Kwa bahati mbaya Israel inapambana na vikundi vya kijeshi na siyo nchi.

Hivi vikundi viongozi wao ndiyo political leaders na wa kijeshi. Sasa kanuni aliyoianzisha Israel inaanza kumnyemelea yeye mwenyewe.

Mbaya zaidi ni mashambulizi yanayoonyesha inawezekana kuwaua viongozi wa Israel kwa sababu yote yame hit target.

Ninachoweza kusema hii vita sasa imeelekea pabaya.
 
Wanaukumbi.

#BREAKING Kulingana na Hebrew Media, makazi ya kibinafsi ya Netanyahu huko Caesarea yalipigwa na ndege zisizo na rubani za kujitoa mhanga zilizozinduliwa na Hezbollah mapema leo.

Hatima na hali yake haijulikani kwa sasa. Lakini imethibitishwa kuwa alikuwa ndani ya makazi hayo wakati ndege zisizo na rubani zilipoipiga.

Ofisi ya Netanyahu inakataa kutoa maoni yake kuhusu aliko Waziri Mkuu wakati wa mgomo wa moja kwa moja kwenye makazi yake ya kibinafsi huko Kaisaria.

Ambulances zinaonekana mbele ya makazi yake pia.
=========================

View: https://x.com/warintel4u/status/1847556152197804499?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Zombie boy unajifariji huku umebana marinda/mkundu ukiwa na maumivu makali
 
Kuna aspects tofauti ziliangaziwa kwa nini viongozi si busara kuuliwa ikitokea vita baina ya pande mbili. Lakini iliangazia kwenye viongozi wa kisiasa si wa kijeshi International Law; Geneva Conventions.

Hii miiko iliwekwa ili kuweza kuangaziwa na kuamuliwa lipi ni baya na lipi ni sahihi kufanywa wakati wa vita. Kwa bahati mbaya Israel inapambana na vikundi vya kijeshi na siyo nchi.

Hivi vikundi viongozi wao ndiyo political leaders na wa kijeshi. Sasa kanuni aliyoianzisha Israel inaanza kumnyemelea yeye mwenyewe.

Mbaya zaidi ni mashambulizi yanayoonyesha inawezekana kuwaua viongozi wa Israel kwa sababu yote yame hit target.

Ninachoweza kusema hii vita sasa imeelekea pabaya.
Sahihi mkuu..
 
Mna bahat Netanyau ..angekuepo angeitandika fimbo moja hyo drone ingevunjika..kama ilivyo kuwa kwa sinawali alivyo fukuza drone na fimbo
 
Wafia dini wa buza wanaropoka tu kirahisi hisi vitu wasivyovijua kiusalama hiyo siyo nzuri hata kidogo. Katika dunia hii ya leo ya kiteknolojia hakuna silaha hatari kama drone, ikikuweka kwenye target umeisha.

kama hao wahuni wameweza kupenyeza drone hadi kwenye hiyo nyumba ya pm netanyahau that means wanao uwezo wa kumdhuru au hata kudhuru viongozi wengine this is security failure because they managed to breach off israel's difence system so easy. Kama hao wahuni wameweza kufanya ivo iran si ndo ataigeuza hiyo nchi majivu
 
Mleta habari umeleta habari mbili zenye maelezo ambayo yanatuchanganya.

Habari ya kwanza inataja kuwa makazi ya Benja yameshambuliwa na inavyodaiwa Benja alikuwepo.

Habari ya pili inasema shambulio limefanyika eneo lililo karibu na makazi ya Benja.

Sasa hapo tushike lipi?
Shambulizi limepiga nyumba ya Netanyau ila hakuwepo hapo wakati shambulizi linafanyika.
Netanyau alisha zikimbia nyumba zake tangu kuanza kwa vita.
 
Back
Top Bottom