Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na nani?Uzuri hizo sheria za karne ya saba hazituhusu sisi waafrika na ndio maana tumezikataa kwani sisi sio waarabu.
Israel hujali sheria za kimataifa!?Kumlenga Kiongozi wa Nchi ni kosa la Kimataifa. Ayatolah akilengwa Direct kwenye Shimo lake analojifichia wasilielie.
What if kuna familia yake hapo?Nimejadili mbini za kujihami na kushambulia, askari kiongozi (Amiri Jeshi) anyewindwa hawezi kupatikana makazi rasmi wakati wa vita, hata Ayatollah kwa nyakati hizi hawezi kuishi makazi yake rasmi kuepuka hatari ya kuuwawa na hivyo kupoteza moral ya wapiganaji wake
Hata kama hapakutokea majeruhi kwa sababu labda wanaoishi humo walikuwa kwenye vyumba vya chini ya ardhi (bunker house); ambulance ilifika hapo ili kama kuna majeruhi iwawahishe hospitali; huo ndio utayari unaotakiwa kwenye mamlaka za nchi yoyote makini.Wanasema hakuna casualty,lakini ambulance ilionekana hapo
Siyo ambulance mojaHata kama hapakutokea majeruhi kwa sababu labda wanaoishi humo walikuwa kwenye vyumba vya chini ya ardhi (bunker house); ambulance ilifika hapo ili kama kuna majeruhi iwawahishe hospitali; huo ndio utayari unaotakiwa kwenye mamlaka za nchi yoyote makini.
Na hiyo ndiyo njia pekee Israel inayoielewa.Kinachofuatia hapo wataanza kulenga ikulu.
Taratibu tu Israel itafika inapopahitaji, wataanza kufanyia mikutano chini ya ardhi kama panya.
Kwa hili shambulizi nadhani hadi sasa akili hazijawakaa sawa.
Dah! Ila iran ilionyesha umahiri wa hali ya juu sana, missiles kupita anga za nchi nyingine hadi kupiga Israel ni uwezo wa hali ya juu sana...Na hiyo ndiyo njia pekee Israel inayoielewa.
Kama Malcom X alivyosema "Sometimes, we must speak the language of the aggressor in order for them to understand."
Iran aliwapitishia missile moja juu ya bunge lao😂😂
Pin point accuracyDah! Ila iran ilionyesha umahiri wa hali ya juu sana, missiles kupita anga za nchi nyingine hadi kupiga Israel ni uwezo wa hali ya juu sana...
Ule uhakika kwamba hivi vyuma vinafika si mchezo...
Kwamba hawakuwa na wasiwasi baadhi ya missiles kati ya hizo zote 200 kwamba kuna hata baadhi zitaanguka nchi za watu kwa malfunctioning na kuua raia wa nchi zingine kama Jordan n.k...
Jamaa vyuma vyote 200 vimetua salama ardhi ya Israel, hii hata kama ni wewe lazima uogope, ni utaalamu wa hali ya juu sana .
Hio nahisi hata US aliwaaambia Israel tulieni, msikurupuke...Pin point accuracy
Hiki kikosi cha drone kinafukuza mwizi kimyakimya ila kazi zake ni hatari na zauhakika. Tuna sababu sasa yakutafakari juu ya Usalama wa taifa la Israel na viongozi wake.Saivi wanaanza kufuatilia viongozi atakae jisahau tu atalambaa mchanga
Nilisikia vile vibanda vilivyunjwa, anaishi wapi sasa!?Netanyau anaishi Mwananyamala, mnapoteza muda bure.
Nilisoma sehemu kwamba drone ikienda chini chini ni ngumu kunaswa na mitambo ya ulinzi. Kwa mfano, lile shambulizi la drone lililpiga kambi ya jeshi la Israel ilienda chini chini na wakati mwingine watu wakawa wanadhani ni mweweAsubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel.
IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo ambulance imeonekana hapo
Mashuhuda wanasema mlipuko ulikuwa mkubwa
Drone launched at Netanyahu home in northern Israel, spokesman says
By Reuters
October 19, 202410:21 AM GMT+3Updated 19 min ago
JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.
Earlier, the Israeli military said that a drone was launched from Lebanon
Na wao pia, huishi nae kama anavyoishi nao.hakuna jipya hapo.Israel anaishi na binadamu kwa kadiri unavyoishi nae, kifupi ukimtendea mema atakulipa mema na kinyume chake, ukiua mmoja ataua wako 1,000
Kama haijali ingeshamuua Ayatolah siku nyingi sana.Israel hujali sheria za kimataifa!?
Kwahiyo nyumbani kwa Netapaka sio mahala muhimu.!?Mkuu air defense system ni ngumu kuweka Kila sehemu. Kwanza utawekeaje nchi mzima.
Hizo system Huwa zinawekwa maeneo muhimu.
Mazayuni ndani ya miaka 2 mpaka 5 ijayo watakuwa hawana nchi yao.