Israel ni hadith nyingine bossHapa naona Team Hizbula mnajifariji tu.
Hicho kilichotokea ni sawa na kurusha jiwe kwenye paa la nyumba ya mtu halafu ukajiona bingwa.
Mkuu wa Hizbula kauliwa na Israel.
Wakuu wa Hamasi wameuliwa na Israel.
Wapalestina zaidi ya 40,000 wameuliwa na Israel.
Huko Lebanon, IDF inatembeza kichapo cha uhakika.
Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote yule wa Israel aliyeuliwa.
Netanyahu yupo. Galant yupo. Gantz yupo.
Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote yule wa Israel aliye na high profile ambaye amekufa kutokana na mashambulizi ya H&H.
At this point y’all are just clutching at straws.
You are wishcasting.