Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kujibu siyo kazi kazi kusubiria majibuIsrael haijashindwa kujibu mashambulizi ya Iran.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujibu siyo kazi kazi kusubiria majibuIsrael haijashindwa kujibu mashambulizi ya Iran.
MasakiAnaishi wapi?
Kakwambia nani 30 ndiyo yalitua?!..na yalitua wapi?Makombora 200 yaliyotua ni 30 na maafa yalikuwa kidogo.
Una akili ya kitoto sana.Kwenye Nchi inayojinasibu kuwa na jeshi Bora, inakuwaje Drone inatumwa tena na wanamgambo, mifumo yote ya ulinzi inashindwa kabisa kuizuia hiyo drone, tutakosea tukisema Hezbollah wanamzidi maarifa Israel?
Hajui maana ya wanamgambo.Una akili ya kitoto sana.
1. Hakuna mfumo wa ulinzi ulio foolproof.
2. Kwenye vita, hakuna upande mmoja tu ambao utakuwa na mafanikio kwa 100% halafu upande mwingine uwe na mafanikio 0%.
3. Mpaka sasa ni viongozi wa upande upi ambao wamekuwa deleted? Magaidi au Israel?
4. Ni wazi kabisa Netanyahu hakuwepo hapo na ndo maana ulinzi wa anga haukuwa tight.
5. Naruto kulala. Siku hao Hizbolaa wakimkamata Netanyahu, Galant, Hagari, niamshe, tafadhali.
Hatari sanaAsubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel.
IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo ambulance imeonekana hapo
Mashuhuda wanasema mlipuko ulikuwa mkubwa
Drone launched at Netanyahu home in northern Israel, spokesman says
By Reuters
October 19, 202410:21 AM GMT+3Updated 19 min ago
JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.
Earlier, the Israeli military said that a drone was launched from Lebanon
Hizbullah wameanza kushambulia vikosi vya majini vya israel,wanaenda hatua kwa hatuaHatari sana
duhh!!!Hakuna jipya maana netanyahu haishi hapo tena.........
Mimi baba yako .......baba yako mzazi muulize mama yako na nesi wa zamu wakati unazaliwa lugoba hospital ya wilayaduhh!!!
wewe house girl au house maid wake....???
Anahangaika hana makazi maalumu.Kama panya.Hakuna jipya maana netanyahu haishi hapo tena.........
Anaishi kama panya,anamaliza mahandaki.Kumbe nyau halali kwake
Ndiyo tafsiri ya "...naliwajua kabla hamjanijua..."JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.
Nani kakwambia ?? Netanyahu ni tajili ana makazi si zaidi ya 9.........unafikiri analala kwenye nyumba moja kawa panga..........yule akai kwenye nyumba za urithi ndio maana hana makazi maalumAnahangaika hana makazi maalumu.Kama panya.
Hayo ni mawazo yako tuu,Mm nilisema mwisho w Israel tutauwona Iran wanatumia akili sana ktk kuitokomeza serikali ya kiIsrael moja wapo awataki kupiga Airport kutoa nafasi watu wakimbie Israel upande w pili wanapiga seem muimu zaid ilikuwatisha wanachi kwamba awako salama ikiwa seem zenye umuimu zaid kimkakati zinapigwa vip adui akiamuakutulenga sisi ambao atuna usalama w kutosha itskuwaje. Kwaiyo hiii inachagiza watu wasongemane Airport wengine washaandoka lkn wanawasiliana na wenzao ktk ali km hii wale wapo nnje wanadhidi kuwa na hoja kwawenzao. Mnasubili nn ikiwa nyumba ya PM inapigwa nyinyi mnasubili kufa. Kila hezbollah anapopiga alengi tu kuuwa uyo Netanyahu au wajesh wakubwa lkn kuna msukumo mwengine uzalishwa w wawatu kuondoka na watu kushawishiana wenyewe kwa wenyewe akuna matumaini ikiwa meeneo nyet yanapigwa. Kuondoka kwa watu kunafaida kubwa kwa mipango ya Iran kuitokomeza iyo serikali inayoitwa Israel ili uwelewe ili soma jivalishe ukazi w Israel uko na ndio unaona unasikia ukweli huu watu wanapiga seem zenye ulinzi mkubwa. Afu jesh lenu linashutumiwa kuuwa raia wamama watoto kupiga hospital shule nyumba z ibada mnashutumiwa kuwanyima chakula maji mmeshtakiwa mahakaman y kimataifa apo apo wewe raia pacha yani una uraia wa nchi zaid ya moja. Sababu waisrael %80 wana uraia pacha JE utabaki ktk ichi iyo mkivamiwa kama 7act utamlaumu nani so wanchi wanakopana watumiana pesa tickets wanasepa kwawingi kila ikitokea kitu watu wanadhidi kushawishika kuwa wanatakiwa kuondoka. Wanaokimbia sio raia tu adi wanajeshi. Waisrael wanafahamika wanaishi nchi nyingi duniani lkn ikitokea vita kwao apo Israel wanarudi vijana kike kiume wanakwenda kusaidia inchi yao. Lkn vita hii itavuruga sana ule mfumo wao mana walienda wenyewe lkn kwasasa wanatoloka tena kwashidasana kupata kutoloka wanatoa rushwa kubwa, Kama ilivo Ukraine nako mwanzo wanchi walikuwa wanajitolea kupigana kwa umati lkn kwasasa ni kukamatana kama vibaka wrngine tumesikia wanatoa rushwa kuikimbia Ukraine kupitia mipakq tofaut tofaut tukija apo Israel uwezi kukimbia kupitia nchi tofaut mana ni waraabu tu ambao vijana w kiIsrael wanonekana ni wauwaji watoto ikichagiza na sheria Israel kila kijana lazima wapitie jeshini kwaiyo kivyovyote wakitolekea kwa waarabu njia akuna salama. Inabidi waonge kwao kwao utoloke kwamba mgojwa au sababu nyengine. Kuendelea kwa vita ivi Israel inajichimbia seem y kuzikwa. Nawatakia asubui njema yenyematumaini , yanga bigwa
Baada ya kuua kafanikiwa wapi israhell ya kwenye media Ile ndio inatishaNa amedhiirisha uwezo huo kwa vitendo, ndani Iran, Lebanon na kwinginepo. Kuua Majenerali muhimu wa Iran, wanasayansi muhimu, viongozi wa Hizibullah na Hamas sio kitu simple
Anaishi ktk ukuta wa YerikoAnaishi wapi?
Ukraine inayopewa misaada ya intel na silaha na nchi zote za NATO, sitoshangaa drones zao kuingia Russia, Ukraine ni nchi ina jeshi kamili tena ipo vizuri kijeshi kuliko nchi nyingi tu Ulaya.Sasa Lebanon na Israel aliyefeli kiulizi nani?
Sawa useme drone za Ukraine kupiga urusi ndani useme urusi imefeli kiulizi.
Wewe unavuoona nani kafeli kiulizi?