MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Upuuzi!Wake zake wote lazima muwe na taarifa muhimu kumuhusu mume wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi!Wake zake wote lazima muwe na taarifa muhimu kumuhusu mume wenu.
Magumu kuliko ya ndugu zako ze kobaz!?Kwa hio mkuu ausubuhi anatokea shimoni kuelekea ofisini 😂😂
Mbona maisha magumu sana haya...
By the way, ninachoona Iran inaweza kuratibu mauaji ya kiongozi yeyote wa Israel.
Israel haijashindwa kujibu mashambulizi ya Iran.Israel inapambana na vikundi vya migambo ambavyo anavizidi silaha na pesa za misaada anazopewa.
Na vikundi hivyo vinaonyesha kukabiliana naye vikali.
Hivyo jeshi la Israel ni overrated, juzi hapa katumiwa salamu na Iran mbona kashindwa kujibu?
Huko Lebanon ameua viongozi wa Hezbollah lakini sidhani kama atashinda.
Hadi leo hao mateka waliotekwa na hamas kawapata?
Hamas bado wamekataa kuweka silaha chini...
Ukiitizama Gaza ilivyo ndogo na imezungukwa na Israel ni ngumu kuamini jamaa ni mwaka sasa wanahangaika kupambana na kisehemu ukubwa wa wilaya na vijana waliobeba AK47.
Naamini Hamas ina askari wakali wa mapigano kuliko Israel katika levels zote.
Ndoto za mch
Kama Hezbollah wanaweza kurusha Drone hadi inaingia chumbani kwa Netapusi, mifumo yote ya ulinzi ya Israel imelala usingizi bila kuizuia hiyo drone, nini kitashindikana kumbabua Nyau.Ameshindwa kumua toka 1979 ndio ataweza leo
Na ndicho kitu kinachowaumiza kichwa Israel na washirika wake wakubwa! Silaha za Iran ni tishio kubwa na zenye uwezo wa kukwepa mifumo ya ulinzi ya Israel na Marekani.Dah! Ila iran ilionyesha umahiri wa hali ya juu sana, missiles kupita anga za nchi nyingine hadi kupiga Israel ni uwezo wa hali ya juu sana...
Ule uhakika kwamba hivi vyuma vinafika si mchezo...
Kwamba hawakuwa na wasiwasi baadhi ya missiles kati ya hizo zote 200 kwamba kuna hata baadhi zitaanguka nchi za watu kwa malfunctioning na kuua raia wa nchi zingine kama Jordan n.k...
Jamaa vyuma vyote 200 vimetua salama ardhi ya Israel, hii hata kama ni wewe lazima uogope, ni utaalamu wa hali ya juu sana .
Kwenye Nchi inayojinasibu kuwa na jeshi Bora, inakuwaje Drone inatumwa tena na wanamgambo, mifumo yote ya ulinzi inashindwa kabisa kuizuia hiyo drone, tutakosea tukisema Hezbollah wanamzidi maarifa Israel?Israel haijashindwa kujibu mashambulizi ya Iran.
Iran ni moto mkali sana, Israel wana haki ya kuufyata mkia.Na ndicho kitu kinachowaumiza kichwa Israel na washirika wake wakubwa! Silaha za Iran ni tishio kubwa na zenye uwezo wa kukwepa mifumo ya ulinzi ya Israel na Marekani.
Jana Israel imetuma ombi kwa US wawaletee kifurushi cha pili cha THAAD dhidi ya makombora ya Iran.
Tayari Iran imeshatengeneza axis dhidi ya washirika wa US hapo mashariki ya kati ambapo kuna base za US kuanzia nchini Syria, Iraq, Lebanon, Yemen na Bahrain anakundi kubwa linamuunga mkono.
Baghdad huko raia wamekitia moto kituo cha kutolea matangazo ya habari cha Saudia MBC baada ya kurusha taarifa ya habari isemayo Qaasim Suleyman, Ismail Haniyeh na makundi mengine yaliyojitokeza kupigana na Israel kwenye vita dhidi ya Ghaza ni magaidi.
Raia wa Iraq wakaona mambo yasiwe mengi wakakitia moto.
Na kila kukicha wanajiona hawapo salama zaidi. Juzi ilikuwa makombora ya Iran, Leo drones za Hizbullah zimewaonyesha hivyo! Kesho sijui itakuwa nini!
Na ndiyo maana vibaraka wa US wamebaki na propaganda tu ila kuruhusu anga zao kwa sasa wamefyata mkia.
Pole sana kwa kufuatilia upuuziUpuuzi!
Naona umeshasahau kipigo cha October 1 pale Israel mpaka Leo mnajipanga sijui mnajipanga niniKweni Kiongozi wa Magaidi ya Hezbola Hassan Nasrallah yuko wapi?!
Ndivyo Ayatolah nae atavyo ondoka kwa Bunker Busters.
😄Safari hii Netapusi atauota moto ambao hakuutarajia.
Nasrallah mwenyewe hakuamini kuwa Bunker Buster itamsalimia.Naona umeshasahau kipigo cha October 1 pale Israel mpaka Leo mnajipanga sijui mnajipanga nini
Jibu swali langu je umeshasahau kipigo cha Oktoba 1 ?Nasrallah mwenyewe hakuamini kuwa Bunker Buster itamsalimia.
Na anaenda UN kupitia handakini? Mpuuzi wa head wewe!Tangu kuanza kwa vita Netanyau haishi nyumbani kwake bali anaishi kwenye handaki.
Kuran sio kitabu cha kuamini kwani vimeandikwa zaidi ya ishirini na kingine kilichowahi kuandikwa huko nyuma kililiwa na kondoo na vingine vilipotea.Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
Majibu utayapata wala usiwe na haraka.Jibu swali langu je umeshasahau kipigo cha Oktoba 1 ?
Hivi kwanini Israel hawajawahi kusema wamehusika na tukio lolote ndani ya Iran???Uzuri Israel inafahamu akili za wairan.
Kipimo kilekile utakachowapimia wao ndicho watakachokupimia.
Ukiwaulia makamnda wao wa kijeshi na wao wanavamia kambi zenu za kijeshi kwa vifurushi vya missiles.
Ukiwaulia viongozi wao wa wakubwa wa kisiasa na wewe watakuondolea viongozi wako na hilo Israel analijua.
Na ndiyo maana baada ya rais wa Iran kufariki kwa ajali ya helicopter Netanyahu alikana kwa nchi yao kuhusika na kutoa amri marufuku kwa kiongozi yeyote wa Israel kutoa tamko lolote litakaloonyesha wao ndiyo wamehusika.
Israel itabaki kujigamba kwa njia ya propaganda. Jana wameomba kwa US wawapitie kifurushi kingine cha THAAD.
Kwa ayatollah kidogo mambo yanakua tofauti siyo kama gazaMajibu utayapata wala usiwe na haraka.