Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Mkuu kwanza unaonekana upeo wapo mdogo.Ukraine inayopewa misaada ya intel na silaha na nchi zote za NATO, sitoshangaa drones zao kuingia Russia, Ukraine ni nchi ina jeshi kamili tena ipo vizuri kijeshi kuliko nchi nyingi tu Ulaya.
Hezbolah ni militia, wanamgambo, so linganisha unipe jawabu, wanamgambo kupitisha drone kwenye anga lako unataka tuseme ni nini?
Unaposikia Hezbollah militia usilinganisha kama na wanamgambo wa kwenu hapa.
Unajua maana ya militias??
Hezbollah wanaitwa wanamgambo kwa sababu sio part ya jeshi la Lebanon.
Kikundi kinachopigana ambacho akitambuliwi na Sheria za kimataifa na za nchi, zote kwa ujumla ndo maana wanaitwa wanamgambo ni kama M23 kule drc, lkn shughuli unaiona.
Hao Hezbollah ni jeshi tofauti na unavyofikilia. Wanamainginia na wataalamu wao. Na ndo maana hata rocket wanatengeneza wenyewe ni kama hamas tuu. Ambacho hata jeshi la JWTZ hawewezi.
Yani wewe unafikili kama Hezbollah ni kama wapo dhaifu tuu ndo fikra zako.
Hao Hezbollah wakikuta na JWTZ ambayo tunawaita jeshi na sio wanamgambo, uhakika JWTZ wanapigika vizuri sana.