Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Ni excuse hizo mzee, hizo drone zinapenya air defenses, kutoka umbali wa km 70 hadi kwenye hio nyumba unafikiri imepenya air defenses ngapi?

Katika wakati huu wa vita hizo sehemu za VIPs zinalindwa sana...

Tuwe wakweli kwamba, Israel imefeli kiulinzi hapa, imetokea kwenye mashambulizi ya Iran na itatokea tena na tena.
Sasa mbona wameanza kubondwa zamani, viongozi wao mapolo kwa mapolo washauwawa kwann wanarusha moja moja ? Maana yake ni kwamba washarusha nyingi ila nyingi zimekuwa detected na air defense na chavhe kama hizo ndio zinapenya kwahiyo air defense za Israel bado ziko vizur
 
Hapa naona Team Hizbula mnajifariji tu.

Hicho kilichotokea ni sawa na kurusha jiwe kwenye paa la nyumba ya mtu halafu ukajiona bingwa.

Mkuu wa Hizbula kauliwa na Israel.

Wakuu wa Hamasi wameuliwa na Israel.

Wapalestina zaidi ya 40,000 wameuliwa na Israel.

Huko Lebanon, IDF inatembeza kichapo cha uhakika.

Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote yule wa Israel aliyeuliwa.

Netanyahu yupo. Galant yupo. Gantz yupo.

Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote yule wa Israel aliye na high profile ambaye amekufa kutokana na mashambulizi ya H&H.

At this point y’all are just clutching at straws.

You are wishcasting.
 
Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
Hiyo ni misemo tu ukweli ni kwamba Dunia bila Magaidi itakuwa sehemu salama.
 
Hapa naona Team Hizbula mnajifariji tu.

Hicho kilichotokea ni sawa na kurusha jiwe kwenye paa la nyumba ya mtu halafu ukajiona bingwa.

Mkuu wa Hizbula kauliwa na Israel.

Wakuu wa Hamasi wameuliwa na Israel.

Wapalestina zaidi ya 40,000 wameuliwa na Israel.

Huko Lebanon, IDF inatembeza kichapo cha uhakika.

Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote yule wa Israel aliyeuliwa.

Netanyahu yupo. Galant yupo. Gantz yupo.

Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote yule wa Israel aliye na high profile ambaye amekufa kutokana na mashambulizi ya H&H.

At this point y’all are just clutching at straws.

You are wishcasting.
Unakuwaga inept sana kichwani mkuu
 
Ungekua wewe, makombora yamesafiri 2000km toka Iran kwa dk 8 na yakapiga shabaha kana kwamba yalielekezwa kwa mkono,ungetamani kumuua kiongozi wao mkuu?!
Makombora 200 yaliyofika ni 30 tena hayakufanya madhara makubwa.
 
😁🤣🤣 Hata kama haishi hapo kitendo cha Hiyo drone kufika ktk Hiyo nyumba bila drone Hiyo kuonekana inalitia dosari jeshi la ulinzi la Israel na Taifa zima Kwa ujumla
Hii haimaanishi sinwar hajafa.........bado hayatolah tu awaishwe kwenye bikra zake
 
Unakuwaga inept sana kichwani mkuu
Ad hominem attacks are the quintessence of projection.

I made several points. You didn’t address any of them.

Instead, you are attacking me personally.

Who is ‘inept’, now?

I hope you didn’t just learn that word yesterday 🤣.
 
Back
Top Bottom