Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Kwa sababu viongozi wa Israel wanechagua hayo maisha acha wapambane.

Hivi hakuna majeruhi kwenye hio nyumba kweli, au jamaa hakuwa na familia hapo?
Kinachoonekana Hizbullah anaanza kuiga mbinu za Israel taratibu.

Si ajabu mbeleni tukaanza kusikia wanaanza kupiga maeneo yenye mikusanyiko ya raia.

Kuhusiana na majeruhi hakuna taarifa na sababu ni hii:

Israeli media: Military censorship bans publication of information related to building targeted by drone in Caesarea
 
Naona Wala kitimoto kwa Siri mmeamua na nyie kuanzisha Uzi wa kujifaliji. Muyahudi sio mtu wa propaganda anaua kweli sasa nyie endeleeni na kujitekenya alafu mnacheka wenyewe
 
Naamini ilikuwa message, hawakushindwa kutuma drone 10 zinafuatana zikapiga hio nyumba ikatitia...

Hizo drone kutoonekana na air defenses ni hatari sana.
Hiyo sehemu inasemeka hakuna ulize.
Drone zilikuwa zinaruka karibu na ardhi ni ngumu kuonekana kwenye radar
 
Kinachoonekana Hizbullah anaanza kuiga mbinu za Israel taratibu.

Si ajabu mbeleni tukaanza kusikia wanaanza kupiga maeneo yenye mikusanyiko ya raia.

Kuhusiana na majeruhi hakuna taarifa na sababu ni hii:

Israeli media: Military censorship bans publication of information related to building targeted by drone in Caesarea
Sasa wao walidhani kumlenga Nasrallah ni upekee sana kumbe na wao wanafikika kirahisi.

Ni kawaida yao kusema no casualties...😂

Wazee wa no casualties...

Netanyahu atakuwa anasindikizwa kwenye msafara na THAAD kwenye lori hivi sasa 😂
 
Hiyo sehemu inasemeka hakuna ulize.
Drone zilikuwa zinaruka karibu na ardhi ni ngumu kuonekana kwenye radar
Ni excuse hizo mzee, hizo drone zinapenya air defenses, kutoka umbali wa km 70 hadi kwenye hio nyumba unafikiri imepenya air defenses ngapi?

Katika wakati huu wa vita hizo sehemu za VIPs zinalindwa sana...

Tuwe wakweli kwamba, Israel imefeli kiulinzi hapa, imetokea kwenye mashambulizi ya Iran na itatokea tena na tena.
 
Ila tuwe wakweli, Hili shambulizi ni maafisa wa Iran wametekeleza, kama ni Hezbollah basi ni kwa maelekezo ya wana intelijensia kutoka Iran.

Hapa ndipo nimeanza kuelewa kwanini Iran walisema Israel akijibu watarudisha mashambulizj makali zaidi.

Na sidhani kama lile shambulio la missiles 200 walikuwa hawajui hio nyumba ipo wapi..
Hezbollah hao kwani mbona kitambo sana walishaonesha clip footage mpaka kitanda anacholalia Netanyahu. Kambi zote za kijeshi na maeneo yote muhimu Wana coordinate. Iran ni kama anawasaidia kisilaha na kuwapa intelligence lakini wanatekeleza wenyewe mashambulizi
 
Pia ukute hiyo drone ni wenyewe israel wameirusha ili watimize jambo lao fulani wanalotaka kulifanya baadae.
 
Huwa nacheka wafuasi wa taifa teule wanapo kuwa wanawacheka viongozi wa Hamas na Hizbullah kujificha kwenye handaki wakati hata bwana wao Netanyau anaishi huko huko.
Netanyahu na viongozi wenzake wawe makini sana sasa hivi.

Hizbullah ikipata taarifa sahihi za muda atakayekuwepo kwenye nyumba yeyote kiongozi mkubwa wa kitaifa wa Israel basi ataenda na drones (siyo maji tena).
 
Sasa wao walidhani kumlenga Nasrallah ni upekee sana kumbe na wao wanafikika kirahisi.

Ni kawaida yao kusema no casualties...😂

Wazee wa no casualties...

Netanyahu atakuwa anasindikizwa kwenye msafara na THAAD kwenye lori hivi sasa 😂
Hahaha!

Soon ataelewa kwa nini ziliwekwa sheria za kivita kimataifa.

Hizbullah wakitaka wamtie kiwewe zaidi wapige missile moja tu yenye uwezo wa kutindua mpaka mahandaki.

Hapo watakuwa wameshammaliza nguvu.

Sasa sijui atajifichia wapi?!
 
Kavunjika nyonga wale wake zake endeleeni kupiga maombi jamani.
20241019_143418.jpg
20241019_134738.jpg
 
Hahaha!

Soon ataelewa kwa nini ziliwekwa sheria za kivita kimataifa.

Hizbullah wakitaka wamtie kiwewe zaidi wapige missile moja tu yenye uwezo wa kutindua mpaka mahandaki.

Hapo watakuwa wameshammaliza nguvu.

Sasa sijui atajifichia wapi?!
Kinachofuatia hapo wataanza kulenga ikulu.
Taratibu tu Israel itafika inapopahitaji, wataanza kufanyia mikutano chini ya ardhi kama panya.

Kwa hili shambulizi nadhani hadi sasa akili hazijawakaa sawa.
 
Taaluma ya kujua Netanyahu Leo kalala na nani hiyo siyo taaluma hizo ni Siri za wake zake ukiwemo wewenimejadili mbini za vita na kujihami

Taaluma ya kujua Netanyahu Leo kalala na nani hiyo siyo taaluma hizo ni Siri za wake zake ukiwemo wewe
Nimejadili mbini za kujihami na kushambulia, askari kiongozi (Amiri Jeshi) anyewindwa hawezi kupatikana makazi rasmi wakati wa vita, hata Ayatollah kwa nyakati hizi hawezi kuishi makazi yake rasmi kuepuka hatari ya kuuwawa na hivyo kupoteza moral ya wapiganaji wake
 
Mleta habari umeleta habari mbili zenye maelezo ambayo yanatuchanganya.

Habari ya kwanza inataja kuwa makazi ya Benja yameshambuliwa na inavyodaiwa Benja alikuwepo.

Habari ya pili inasema shambulio limefanyika eneo lililo karibu na makazi ya Benja.

Sasa hapo tushike lipi?
Shika korodani
 
Back
Top Bottom