Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Nimecheka kumsikia Biden anasema ceasefire huko Lebanon inawezekana bada ya kuwatia pressure serekali ya Lebanon je Israel atakubali kuwapa ushindi Hezbullah sababu target yake ni kuwafukuza Hezbullah kwenda baada ya mto Letani. Hicho kitu hakiwezekani UN resolution inataka silaha za Hezbullah zivunjwe na serekali ya Lebanon ndio iwe peke ina miliki silaha hicho pia hakiwezekani. Ki ujumla Israel akisimamisha vita Lebanon ujuwe Hezbullah kashinda

Huyu Biden kabla ya week mbili alisema hakuna kusimamisha vita mpaa imalizwe Hezbullah leo vipi aseme vita Lebanon vinaweza kusimama 😄

Hezbullah kisha wapo dozi nzito wanaomba vita bora visimame isije kuwa aibu kwa Israel, sababu hakuna raia wao wamerudi huko North Israel, na sasa Haifa wanakimbia huko. Wanawahi kabla hata Tela Aviv isiwe kama Haifa.
 
DRONE LAUNCHED TOWARDS ISRAELI PM's HOME - spokesperson
(published at 10:34)

A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in Caesarea, northern Israel, his spokesman says.

Netanyahu was not in the building and there were no casualties, the spokesman adds.

The Israeli military earlier said three drones had been fired towards the coastal town early on Saturday. One hit a building, while the other two were intercepted, it added.
 
Mleta habari umeleta habari mbili zenye maelezo ambayo yanatuchanganya.

Habari ya kwanza inataja kuwa makazi ya Benja yameshambuliwa na inavyodaiwa Benja alikuwepo.

Habari ya pili inasema shambulio limefanyika eneo lililo karibu na makazi ya Benja.

Sasa hapo tushike lipi?
 
Tofauti ya Wayahudi na Waarabu wayahudi wanaamini katika kutumia akili wakati wavaa Kobazi wanaamini mambo yatatokea kwa nguvu za fala allah
Hizo drone ulitengeneza wewe mkuu? Hao unaowaita wavaa kobazi Wana maarifa na teknolojia ya Hali ya juu sana!

Tuacheni ushabiki tambua vita hii ni ya kitaalamu sana. Kitendo Cha kuweza kupiga makazi ya netanyahu ( ndani ya Israel) siyo kila nchi inaweza kufanya hivyo.

Israel Ina air defense systems nyingi na nyingine za kutoka USA za THAAD

Drone za wavaa kobazi zinapenya na kushambulia maeneo nyeti. Si kawaida hii, Israel lazima wapatwe na mashaka makubwa.
 
Wanaukumbi.

#BREAKING Kulingana na Hebrew Media, makazi ya kibinafsi ya Netanyahu huko Caesarea yalipigwa na ndege zisizo na rubani za kujitoa mhanga zilizozinduliwa na Hezbollah mapema leo.

Hatima na hali yake haijulikani kwa sasa. Lakini imethibitishwa kuwa alikuwa ndani ya makazi hayo wakati ndege zisizo na rubani zilipoipiga.

Ofisi ya Netanyahu inakataa kutoa maoni yake kuhusu aliko Waziri Mkuu wakati wa mgomo wa moja kwa moja kwenye makazi yake ya kibinafsi huko Kaisaria.

Ambulances zinaonekana mbele ya makazi yake pia.
=========================

View: https://x.com/warintel4u/status/1847556152197804499?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kama ni kweli mmekula kichwa cha Netanyahu mtakuwa mmescore pakubwa
 
Hii ni hatari sana, drone kutembea km 70 na kupiga target sio mchezo.

Ndio watu huwa hawaelewi kwamba hata Hezbollah haishindwi kushambulia raia...

Kama nyumba ya PM inapigwa, watashindwa kupiga mkusanyiko wa raia?
Halafu mtu anakuambia ni magaidi.
Umeongea neno kubwa mno. '...watashindwa kupiga raia...?'
 
Kwa hio mkuu ausubuhi anatokea shimoni kuelekea ofisini 😂😂
Mbona maisha magumu sana haya...


By the way, ninachoona Iran inaweza kuratibu mauaji ya kiongozi yeyote wa Israel.
Huwa nacheka wafuasi wa taifa teule wanapo kuwa wanawacheka viongozi wa Hamas na Hizbullah kujificha kwenye handaki wakati hata bwana wao Netanyau anaishi huko huko.
 
Yaani mkimuua netanyau magaidi sijui mchimbe mahandaki urefu gani mjifiche
Ikiwezekana yawe Marefu mtokee upande wa pili wa Dunia la sivyo.
 
Back
Top Bottom