Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Nyie ndio wale baba amekufa linakuja jamaa kumchukua mama ako linakaa nae nyumba aliijenga babaako kwakua ni li askari magereza wewe unaliacha unalipa na funguo za gari ya babako kwa uoga
Limama lako inaweza kuwa limependa show ya askari likahonga kila kituna huwezi fanya lolote
 
Bibi lazima awindwe na magaidi maana anawashenyenta sana.
 
Hezbollah gave Israel full legitimacy to attack the office/residence of the Supreme Leader of Iran in Tehran .
 
The “Al-Hadath” Saudi TV channels reports that the target hit by the Hezbollah UAV in Caesarea was Benjamin Netanyahu’s private residence.

Netanyahu wasn’t there at the time. No one was injured in this incident.
 
Aise!
that is failure of israel security, wamechia drone kutoka Lebanon hadi nyumbani kwa Waziri Mkuu na ikashambulia makazi, bahati nzuri hakuwwpo.
Hili lilikuwa Jaribio kubwa la kumuua Nentanyahu.
 
Kwa hiyo Daudi kwenda kupambana na Goliath ilikuwa ni ujinga?

Vipi upinzani kupambana na CCM?

Au vipi vita vyovyote vilivyopiganwa dhidi ukoloni?
Kwani unadhani vita vya ukolon
Kwa hiyo Daudi kwenda kupambana na Goliath ilikuwa ni ujinga?

Vipi upinzani kupambana na CCM?

Au vipi vita vyovyote vilivyopiganwa dhidi ukoloni?
Unadhani ukoloni mlishinda?, wazungu waliamua tu kupunguza gharama na kutumia vibaraka kuchukua rasilimali kama kawaida na ndio maana wanaojifanya kuzuia huishia kufa
 
Kwani unadhani vita vya ukolon

Unadhani ukoloni mlishinda?, wazungu waliamua tu kupunguza gharama na kutumia vibaraka kuchukua rasilimali kama kawaida na ndio maana wanaojifanya kuzuia huishia kufa

Kumbe hawakushindwa? Mbona waliondoka vichwa chini?
 
Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel.

IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo ambulance imeonekana hapo
Mashuhuda wanasema mlipuko ulikuwa mkubwa

Drone launched at Netanyahu home in northern Israel, spokesman says​

By Reuters
October 19, 202410:21 AM GMT+3Updated 19 min ago



JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.

Earlier, the Israeli military said that a drone was launched from Lebanon
Netanyau akamatwe akiwa hai apelekwe mahakama ya kimataifa kwa uhalifu wa kivita!
 
Poleni mme wenu kavunjwa kiuno na Hezbollah hataweza kuwashughulikia tena
Screenshot_2024-10-19-10-14-17-919_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2024-10-18-08-28-31-140_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg
 
Back
Top Bottom